Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

Aise hila wakubwa wanafaidi.Ee Mungu baba nipe waivi 👩‍❤️‍👨,nahaidi ntamtunza😂.
 
Kwa hatua tuliyofikia kama nchi, mguu wa kuku ni muhimu nyakati hizi ili uishi kwa kujiamini.
Kabisa, mimi niko kwenye process, niliuliza humu wadau wakanipa muongozo 💯

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…