Malkia Elizabeth kalala kuzimu. Je, karma itachukua mkondo wake?

Malkia Elizabeth kalala kuzimu. Je, karma itachukua mkondo wake?

Reincarnation iko kwa baadhi ya Clans ikiwa ndiyo mpango wao!

Dalai Lama ni tunda la Reincarnation linaloishi hivi sasa!

Reincarnation huwepo tu pale ambapo Roho iliyopata kuishi imetamani kuja kukamilisha mpango Mahsusi.

Na ikiwa KURUDIA kwake ni katika Maumbile gani...ya Kike?kiume? Au nini...

Inawezekana Mtu akaja kutimiza PURPOSE YAKE....Lakini akatokea kuzaliwa kwenye mikono itakayopelekea kusahau kilichomleta hapa Duniani....

Sidhani kama Royal Family ya GB inamfululizo wa rebirth.....lakini ikiwa upo basi na utaendelea kuwepo...

Books:
Autobiography-His Holiness Dalai Lama.

Life after Death-Deepak Chopra.

And a lot more others!
Analects; way and its powers
You can change your destiny; Liao Fan four lessons
The realm of eternity etc
 
IMG-20220910-WA0322.jpg
 
Ziada ya maarifa

Ngome ya Balmoral au Kasri la Balmoral (the Balmoral Castle), haya ni Makazi ya Malkia Elizabeth II yaliyoko katika Mkoa wa Aberdeen (Aberdeenshire) nchini Scotland, ambayo ni moja ya nchi 3 zinazounda Great Britain, nazo ni England, Scotland na Wales. Scotland pia ni moja ya nchi 4 zinazounda Uingereza (United Kingdom) ambazo ni England, Scotland, Wales na Northern Ireland.

Balmoral Castle ndipo mahali ambapo Malkia Elizabeth II alimalizia safari ya maisha yake hapa duniani. Balmoral Castle ilianza kujengwa mwaka 1853 na kumalizika mwaka 1856, yaani miaka 166 iliyopita. Mikoa mingi ya Uingereza ina Kasri angalau moja ambayo ni Makazi ya Malkia na sasa ni Makazi ya Mfalme Charles III. Makasri hayo yalijengwa zamani sana. View attachment 2352599
Na mara nyingi utotoni alikaa hapo hata kabla hajawa Malkia. Maisha yake yote hajawai kuonja magumu! Lakini usisahau kifamilia alikuwa na tabu, baadhi ya watoto wake wamemsumbua sana, na imehamia kwa wajukuu! Hakuwa na shida ya pesa, lakini kuna nyakati hakua na raha kabisa kutokana na watoto wake.
Kila mtu ana adha za aina yake, unapata hiki unakosa kile! That is fairness of life.
 
Na mara nyingi utotoni alikaa hapo hata kabla hajawa Malkia. Maisha yake yote hajawai kuonja magumu! Lakini usisahau kifamilia alikuwa na tabu, baadhi ya watoto wake wamemsumbua sana, na imehamia kwa wajukuu! Hakuwa na shida ya pesa, lakini kuna nyakati hakua na raha kabisa kutokana na watoto wake.
Kila mtu ana adha za aina yake, unapata hiki unakosa kile! That is fairness of life.
Kiroho ni kwamba mambo yalikuwa hayaendi sawa kutokana na past negative actions.. Yaani karma ilianza kufanya yake mapema kabisa
 
Exactly,
Hata Newton's Third Law of Motion isemayo "To every action, there's an equal and opposite reaction" imethibitisha hili na kama tujuavyo Sayansi ni somo pana na lisilodanganya hata kidogo kwa sababu linakupa fact na verifiable evidence.

Uwezekano wa kupitia yote ni mkubwa kwa sababu inatakiwa upitie yote uliyowatendea watu ili ujue jinsi inavyokuwa ukiwatendea wengine. Ulimwengu ni wa ajabu sana, na unaweza kukuacha na maswali mengi sana lakini utakufa, utaishi, utakufa na utaishi tena mpaka uelewe kwamba kinachoweza kutuunganisha binadamu wote na kutuweka pamoja ni UPENDO.

Hata waKatoliki wana amri yao kuu, ambayo ni AMRI YA UPENDO "Unconditional love" ambayo ukiipitia utaweza kumuona binadamu mwenzako kama wewe mwenyewe.

Na ukiifuata amri hii utagundua hata kuchinja wanyama ni ukatili mkubwa sana kwa sababu wao pia ni roho na viumbe kama Mimi na Wewe na Binadamu wote, na tunawadhulumu haki yao ya kuishi na ku-experience maisha.​
Wanyama hawana roho.
 
Laana zipo za aina nyingi laana ya karma ni malipo ya matendo yako mabaya uliyowatendea nyuma. Mfano aliyemuua Azory nae kafa,
Unajuaje?. Vipi kuhusu Ben wetu?. Kwa vile mwisho wa siku wote lazima tuu tutakufa siku yetu ikifika, unawezaje kutofaitisha kifo cha laana ya karma na natural death?.
P
 
Hilo ni Dua la kuku,hakuna karma kwa mzungu,
Wazungu wametufsnya watumwa,wametutawala,kwa zaidi ya Miaka 100!lakini ndio wanazidi kubalikiwa,sie Bado choka mbsya
Kama hujaelewa muktadha wa mada nakushauri uulize ili upate kuelimishwa kwa weledi JUAN MANUEL
 
Ile kofia yake ina madini yenye thamani ya Tsh billion moja na yaliporwa South Africa
...ndiyo imempa la kunena Bwana Malema.

Na lile kapu la Dhahabu linalombeba likuvutwa na Horse Power ya nguve;Just a Jest
Duh 1 bil V8 ngapi hizo
 
...ndiyo imempa la kunena Bwana Malema.

Na lile kapu la Dhahabu linalombeba likuvutwa na Horse Power ya nguve;Just a Jest
Duh 1 bil V8 ngapi hizo
Nilikadiria chini sana

Moja ya vipande vilivyotazamwa sana katika Vito vya Taji ni Crown ya St. Edward, ambayo ina mawe 444, ya thamani na ya nusu ya thamani. Takriban pauni tano za dhahabu zilizotumika kujenga taji hilo leo zina thamani ya zaidi ya $100,000, huku mkusanyiko wa mawe katika madini hayo ya thamani ukiweka thamani ya taji hili karibu dola milioni 39.
Screenshot_20220912-063427.jpg
 
Back
Top Bottom