Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani Huko alikoenda amekwambia hatafanya kazi yoyote? Maisha Sio kukariri. Fursa ziko.nyingi ukichangamsha fuvu.Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mzzazi amemshauri binti yake kuacha kazi ili kumfuata nume wake ambaye amehamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine.
Kituko hiki kilitokea mnamo mwaka jana baada ya mume huyo kuhamishwa kutoka mkoa wa nyanda za juu kusini keenda mkoa wa kanda ya ziwa. Mume alipopata uhamisho, mke wake mwenye mtoto mmoja, ,aliyeolewa yapata miaka 3 iliyopita, alijaribu kuomba uhamisho ili kumfuata mumewe lakini waajiri wake walionekana kuchelewesha uhamisho wake wakati yeye aliomba kumfuata mumewe haraka iwezekanavyo.
Alipoona uhamisho unachelewa alimuendea mama yake mzazi kumuomba ushauri nini afanye. Bila kumumunya maneno, mama yake alimshauri kuacha kazi mara moja. 'Mume wako yupo kanda ya ziwa, wewe upo kanda ya nyanda za juu, hapo hakuna ndoa. Kama uhamisho wako unachelewa, acha kazi mara moja umfuate mumewe; shauri yako!' Alisikika mama akimshauri mwanaye.
Bila kusita, binti aliandika barua ya kuacha kazi yake ya uhasibu (senior accountant (CPA) na kumfuata mume. Sasa hivi ninapoandika uzi huu, huyo mwanamke ni mama wa nyumbani na hana namna ya kuajiriwa tena kwani umri wake umesogea.
MAONI YANGU
Hivi akina mama kuna wakati wanafikiri kwa kutumia kiungo cha chini tu au ni namna gani wenzangu? Inakuwaje mama amshairi senior accountant kuacha kazi na yeye kweli anamsikiliza mama na kuacha kazi? Akina mama wamerogwa na nani hasa?
Huu ushauri ungetolewa kwa mwanaume nina hakika angeupuuzilia mbali. Kwa kuwa akina mama alkili zao zinaishia kwenye urefu wa pua zao, ndio maana wanaweza kushawishika kuacha kazi kwa sababu tu ya kufuata m.b00 ambayo hata ichepuke kiasi gani haiishi.
Je, ingekuwa wewe mwanaJF ndiye umepewa ushauri wa aina hii, ungemsikiliza mama yako au ungetupilia mbali ushauri wake?
Kiinglish logical or logically?Kwahiyo wewe unaamini maisha ni kuajiriwa tu ?
Huyo mama yupo logically kukuzidi wewe katazama mbali na kaangalia the future of her daughter in long run benefits
Mimi Dada yangu aliacha Kazi na kutoka ulaya kumfata mwanaume Tz na Leo she is well of
So kuna wanaume ni potential Sana usiwe na fikra za kimasikini kuwa Kazi ni kuajiriwa serikalini tu.
WanajiwezaMtu bila hela utamla mkuu?
Mbona unaumia hivyo mke kumfuata mme wake? Ulikua unafukuzia?Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mzzazi amemshauri binti yake kuacha kazi ili kumfuata nume wake ambaye amehamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine.
Kituko hiki kilitokea mnamo mwaka jana baada ya mume huyo kuhamishwa kutoka mkoa wa nyanda za juu kusini keenda mkoa wa kanda ya ziwa. Mume alipopata uhamisho, mke wake mwenye mtoto mmoja, ,aliyeolewa yapata miaka 3 iliyopita, alijaribu kuomba uhamisho ili kumfuata mumewe lakini waajiri wake walionekana kuchelewesha uhamisho wake wakati yeye aliomba kumfuata mumewe haraka iwezekanavyo.
Alipoona uhamisho unachelewa alimuendea mama yake mzazi kumuomba ushauri nini afanye. Bila kumumunya maneno, mama yake alimshauri kuacha kazi mara moja. 'Mume wako yupo kanda ya ziwa, wewe upo kanda ya nyanda za juu, hapo hakuna ndoa. Kama uhamisho wako unachelewa, acha kazi mara moja umfuate mumewe; shauri yako!' Alisikika mama akimshauri mwanaye.
Bila kusita, binti aliandika barua ya kuacha kazi yake ya uhasibu (senior accountant (CPA) na kumfuata mume. Sasa hivi ninapoandika uzi huu, huyo mwanamke ni mama wa nyumbani na hana namna ya kuajiriwa tena kwani umri wake umesogea.
MAONI YANGU
Hivi akina mama kuna wakati wanafikiri kwa kutumia kiungo cha chini tu au ni namna gani wenzangu? Inakuwaje mama amshairi senior accountant kuacha kazi na yeye kweli anamsikiliza mama na kuacha kazi? Akina mama wamerogwa na nani hasa?
Huu ushauri ungetolewa kwa mwanaume nina hakika angeupuuzilia mbali. Kwa kuwa akina mama alkili zao zinaishia kwenye urefu wa pua zao, ndio maana wanaweza kushawishika kuacha kazi kwa sababu tu ya kufuata m.b00 ambayo hata ichepuke kiasi gani haiishi.
Je, ingekuwa wewe mwanaJF ndiye umepewa ushauri wa aina hii, ungemsikiliza mama yako au ungetupilia mbali ushauri wake?
Mkuu maisha na uchumi wa Norway huwezi kuyafananisha na maisha ya mchongo ya bongo. Huyu mama kampoteza mwanaye kwa kumshawishi kuacha kazi kwa ajili ya kutumikia m.boo. Hii ni mbaya sana.
MAONI YANGU
Hivi akina mama kuna wakati wanafikiri kwa kutumia kiungo cha chini tu au ni namna gani wenzangu? Inakuwaje mama amshairi senior accountant kuacha kazi na yeye kweli anamsikiliza mama na kuacha kazi? Akina mama wamerogwa na nani hasa?
Huu ushauri ungetolewa kwa mwanaume nina hakika angeupuuzilia mbali. Kwa kuwa akina mama alkili zao zinaishia kwenye urefu wa pua zao, ndio maana wanaweza kushawishika kuacha kazi kwa sababu tu ya kufuata m.b00 ambayo hata ichepuke kiasi gani haiishi.
Muwe mnafikiria na mambo menginè. Maisha huwa yanabadilika, kuna kuachishwa kazi, biashara kuyumba, magonjwa,kifo, mke kuachwa ataenda wapi.Kama familia yote inajiweza kwanini asiache kazi na kumfuata mumewe?.
Umasikini ndio chanzo wanawake kuwa watafutaji.
Mkuu umemaliza kila kitu. Naomba nikutunuku PhD ya heshima Dokta Nifah .Kwanza, hakukuwa na ulazima wa yeye kuharakia kuacha kazi badala yake angesubiri uhamisho hata kama ungechukua mwaka.
Watu mpaka mnafikia hatua ya kufunga ndoa mnapaswa kuelewa utafika wakati kutakuwa na utengano iwe kikazi au kiafya (ugonjwa n.k)
Hivyo suala la kuhamishwa mume kikazi sio la ajabu wala haliwezi kuonekana kama tatizo.
Vipi kama mume huyohuyo akipangiwa kwenda masomoni nje ya nchi? Hatoenda sababu ya ndoa?
Nafikiri ndoa ni uvumilivu, uaminifu na maelewano. Kuhamishwa kikazi ni jambo dogo sana mke kuacha kazi harakaharaka kumfuata mume.
Una umri wa miaka mingapi?Unaacha kazi inayokulipa pesa ndefu unafuata mtu halafu unajiona mjanja?