Mama ana uchungu wa kuzaa mwaka huu. (2025-1964=61)!

Sasa wazazi wako nao wangesema isemayo, ingekuwaje?

Ninyi mnatakiwa kuozeshwa kwa bakora..
Mkuu wewe ni muislam bila shaka sio....
Mnasemaga kila mtoto anakuja na ridhki yake ili wajuba tujichanganye 😂😂😂🫵🫵🫵
 
Hili naliombea litokee ili kidomodomo kiishe. Kiishe ama kwa kuheshimiana au kwa kugawana mbao kwa heshima. Namuomba Mungu alifanye hili kuwa jepesi.
 
Tafsiri ya Imani ipo waebrania 11:1-6,
Ili nithibitishie jambo ni lazima uamini kwa sababu chanzo CHAKE ni imani
Ukishaamini huna haja ya kuthibitisha, kwa sababu umeamini.

Na ukiwa na haja ya kuthibitisha hujaamini, ndiyo maana unataka kuthibitisha.

Unaelewa hayo?
 
Ukishaamini huna haja ya kuthibitisha, kwa sababu umeamini.

Na ukiwa na haja ya kuthibitisha hujaamini, ndiyo maana unataka kuthibitisha.

Unaelewa hayo?
Hayo UMESEMA wewe kwani uliwahi kuamini lini ukakosa uthibitisho
 
Hayo UMESEMA wewe kwani uliwahi kuamini lini ukakosa uthibitisho

Kuamini ni kukubali bila uthibitisho.

Ukishaamini huhitaji uthibitisho na ukihitaji uthibitisho hujaamini.

Huelewi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…