Mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani bila kumuudhi January, miezi 3 sasa bado hajapata njia sahihi

January siyo kijana bana ana miaka 50
 
Kalemani hawezi kurudishwa ni mkristo
 
Amteme kipara ngoto kibabe tu. Akimuuliza mstaafu jk yule toboatobo wameshibana tangu enzi za ujana atasema muache tu kijana wetu huku nchi inaumia. Juzi kule kwenye bwawa mumeona anachekacheka ovyo utafikiri rais wetu ni mama yake.
This incompetant confident will cause enomous demage to our welfare.
 
Ampoteze ki medani tu.

Anaweza kumpa ubalozi wa Taiwan au Togo huko so anakua amepotea kwa style hyo.
 
Andishi nzuri sana .... Ila umekosea kusema ni Moja Kati Yao , Yani CCM so utabadiousha nn ndani ya mfumo iliyo hoza mkuu
Kimsingi hapo omba Mungu siku update kiti Cha u_rais then ndio unaweza kufanya transformation .... Unless otherwise unatwanga maji kwenye kinu kama wasemavyo waswahili....,
Anyway Big up to you for your vision.
 
Sioni kama kalimani ni Mwarubaini wa tatizo la UMEME nchi hii... Tatizo ni mfumo uliopo kwa maana ya namna ya Usimamizi wa Rasilimali zetu ni WA ovyo sana.

Kila hatakae ingia niazima atengeneze mazingira yake ya upigaji na namna ya kutoboa, Ila siyo Maslahi ya Taifa,
 
Ulivyoandika utasema ulikua karibu na mama akawa anakuadithia hiki kitu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umetumwa siyo? Unalipwa posh? Rudisha huu uzushi wa kizandiki ulikokutoa. Rais hawezi kuogopa kima yoyote ndani ya nchi hii ni kwamba ameona Kalemani hamfai full stop.
 
Samia hajashindwa kumtoa makamba ila kumtoa makamba ni sawa na kumdhalilisha kikwete na kikwete kwa samia ndiye kila kitu
Ni kweli ila Samia amefanya kosa la kisiasa kujihusisha na kambi hiyo.

Kikwete anapoteza ushawishi ndani ya chama na serikali.

Matokeo ya kura ndani ya chama recently ni mfano mzuri.

Watu wengi hawapendi vitendo vinavyofanyika na hilo kundi.

Itamwia vigumu kuongoza katika hali hii.

Atafanikiwa kurudi madarakani ndio ila hataweza kufanya lolote la maana akiwa na timu hiyo.
 
...unampa ushauri wakati yeye hajaomba,labda yeye kinacho endelea ndio anataka.Maadamu anapita hapa endelea ataokota siku akipita.
 
Kwani hamna watanzania wengine wanaoiweza hio nafasi mpaka amrudishe Kaleman?
 
Wizard hiyo imekuwa shamba Lao, Raisi apaswi kuwa muoga katika maamuzi yake kwani katiba inambeba sana.
.Nishati haina watu smart ni ujuaji usiyokuwa na tija kwa Taifa (Miungu watu kuanzia Waziri, Ps Hadi MDs).
 

I see! [emoji849]
 

Tumechoka na ahadi hizi za ajabu, hamjui tu [emoji35].. Eti watch this space!!!!
 
Watu wazuri hawafi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…