Mama awashinda watoto wake Kesi ya Mirathi ya Nyumba Kariakoo

Maadui huwa hawatoki mbali, wa mbali hawezi kukuumiza, sio mchezo vijana tupambane sana tutafute vya kwetu
 
Mrungi sio mzuri davoo wangu achana nayo kabisa
Bora mrungi kuliko pombe mkuu.
Stimu (handas) ya mrungi na stimu (ulevi) wa pombe vitu viwili tofauti.

Madhara ya pombe kiafya ni worse kuliko mrungi.

Besides hata andas ya mrungi haikutumi wala kukufanya ufanye mambo ya hovyo katika jamii ukifananisha na pombe au bangi, mrungi upewe hashima yake boss
 
Ni aibu kufanya kesi za mirathi kwa miaka yote hiyo.
Je angefariki haki angeipata wapi?
je wangapi wanasumbuliwa na hizo kesi za mirathi!
Ingekula kwake. Wakusaidia huu hizo kuondoka sisi Watanzania wote siku tukiipata sawa sawa na sindano ikatuingia. Maana Kwa Sasa Watanzania Bado wameridhika na mifumo mibovu ya nchi chini ya CCM yao.
 
Wpmbv sana hao

Ova
 
Dini yenu ndo inasema mali alizotafuta baba na mama.. baba akifariki mali wanapewa watoto??? Bhasi hiyo dini ni takatakaaa.
 
Mrungi unazingua sana jogoo kwenye show
 
Fala sana wewe.
Unajuaje labda hiyo ni sehemu ya thumni yake katika mali za mumewe? Nijuavyo Mume alikuwa ni mwenye mali nyingi.
Kenge wewe
 
Hizi ni tamaa na laana pia itawatafuna hawa
Unamfanya mama yako hivyo kisa mali
Binadamu tuko tofauti sana sana
Mama yangu siwezi hata kumkaripia wala kunyanyua sauti kwake achilia mbali kumpeleka mahakamani
Mungu awaonyeshe njia iliyo ya haki na watubu sana na kumuangukia mama yao
Mama nakupenda
 
Wewe umefafanua vizuri.Kwa hiyo nyumba inakuwa ya mama na watoto,wakiuza wanagawana wote,mama na watoto.Wewe utakuwa ni mwanasheria,unajua sheria.Kwa hiyo mama jarudishwa kwenye urithi wa nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…