Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Toa ujinga wako apaUnaleta ujuaji na huruma za hivyo...huyo mama haki yake katika mirathi ni kupewa thumni ya mali zote za urithi(yaani kama sijakosea anatakiwa apewe theluthi ya mali yote) na sio kupewa mali yote yeye kama mke au mama wa hao watoto....daraja la mama ni kubwa lakini aliweka hilo daraja ndio huyo huyo aliyempa haki ya kupata thumni katika urithi,kama alitaka haki yake basi wangekusanya mali zote kama zinauzwa halafu yeye apewe theluthi tu ndio haki yake......usilete huruma za kibidamu Mwenyezi Mungu kisha fafanua kila kitu....tamaa za hiyo familia wameshindwa kugawana mirathi kwa sheria za Mwenyezi Mungu wamekimbilia mahakamani hatimae limegeuka hata huyo mama kapewa tu lakini ataadhibiwa kwa kudhulumu haki za watu.