Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,931
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo mzee abdul kwa diamond ni kama rafiki tu?
Mbavu zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo mzee abdul kwa diamond ni kama rafiki tu?
Anahitaji ushauri mzito sana wa kisaikolojia..Sijui kama ataweza kuhimili hili 🙌🙌🙌🙌
Kumbe hata Queen na mwenyewe alitelekezwa na Mzee Abdul?!Bond ya Diamond na Queen imetengenezwa na mama yake Queen na mama Diamond sababu wote inavyo onekana mzee Abdul hakuwa na time nao,so walivyokuwa wakikutana walikuwa wanafarijiana sababu matatizo yao yanafanana.
Pamoja kuwa wana Mali ila ulimbukeni upo damuni mama hata akivaa nguo ya bei haipendezi kwa chuki aliyobeba moyoniIle picha anapanda daladala imewaumbua vibaya mno so wameona wamkane kabisa kuondoa lawama😂😂😂😂
Queen mzee wake alimtukana matusi makubwa kwenye intvw aliyoifanya Soudybrown kipindi cha Shilawadu mpaka matusi wakawa wana ya mute.Kumbe hata Queen na mwenyewe alitelekezwa na Mzee Abdul?!
Huko Instagram bila shaka leo kutakuwa hakukaliki!Ndio hivyo naona hata Sallam Sk amemtania leo.
Queen ametumwa vizuri sana na mzee Abdul. Kwenye makuzi yake alikua mtoto wa tajiri pale kariakoo. Mzee Abdul alikua na pesa haswa, wakati huo diamond haendi shule sababu ya kukosa adaBond ya Diamond na Queen imetengenezwa na mama yake Queen na mama Diamond sababu wote inavyo onekana mzee Abdul hakuwa na time nao,so walivyokuwa wakikutana walikuwa wanafarijiana sababu matatizo yao yanafanana.
Kama kupambana hajapambana kwakweli😂😂😂😂😂😂Anahitaji ushauri mzito sana wa kisaikolojia..
Kila mwanadamu anahitaji/anatamani kuwa sehemu ya jamii fulani.
Na kutoka ktk jamii husika anayotamani kuwa sehemu yake anategemea apate mrejesho chanya kama upendo, msaada, faraja, kuthaminiwa..
Ukimsikiliza huyo mzee, unaona kabisa amepambana sana kuwa sehemu ya hiyo familia akijua fika there is where he belongs, pamoja na kuliwa buyu hakuacha kujikomba and now wanakuja public hawamtambui.
Kiufupi, walichokifanya mama na momo hakina afya hata kidogo kwa mzee Abdul.
Sasa kwa nn Queen alimtukana baba yake kipindi akihojiwa na Shilawadu,alimkashifu vibaya sana.Queen ametumwa vizuri sana na mzee Abdul. Kwenye makuzi yake alikua mtoto wa tajiri pale kariakoo. Mzee Abdul alikua na pesa haswa, wakati huo diamond haendi shule sababu ya kukosa ada
Pamoja na mapungufu yote ya mama Diamond alijitahidi sana kwaweli kuhakikisha amemfikisha mtoto hapo alipo. Kulea watoto mwenyewe sio mchezo
Nilitaka kugususia hilo la matusi lakini nikahisi labda nitakuwa nachanganya kwa sababu ni kweli nakumbuka niliwahi ona interview moja hivi Queen Darleen alimnyenyea sana Mzee Abdul hadi nikashtuka kwamba kivipi anamuongelea mzee wake namna ile.Queen mzee wake alimtukana matusi makubwa kwenye intvw aliyoifanya Soudybrown kipindi cha Shilawadu mpaka matusi wakawa wana ya mute.
Kwani DNA hazipo. hapo wanataka kumtoa Mzee Abdul njeHii inawezekana kabisa mpendwa
Mwenyewe nilishangaa ndipo nikajua mzee nae hamkujali Queen.Nilitaka kugususia hilo la matusi lakini nikahisi labda nitakuwa nachanganya kwa sababu ni kweli nakumbuka niliwahi ona interview moja hivi Queen Darleen alimnyenyea sana Mzee Abdul hadi nikashtuka kwamba kivipi anamuongelea mzee wake namna ile.
Kwa hiyo unasema anadanganya?Kama kupambana hajapambana kwakweli😂😂😂😂😂😂
Atakua na lake linalomuumizaSasa kwa nn Queen alimtukana baba yake kipindi akihojiwa na Shilawadu,alimkashifu vibaya sana.
Cha ajabu hapa hakuna akili ni ufala, kuna kusakiziwa mimba na kuna kulea mtoto wa single mother,mtu akisakiziwa then akajua kulea ni utata, na akijua toka mapema atalea tu..Mzee Nyange alikataa mimba, mzee Abdul nae akakataa mimba lakini akaendelea kujivinjari na mama Diamond.
Kwa maelezo ya mama Diamond amelea mwenyewe. Kasema mzee Abdul tangu akatae mimba hakuwahi jishughulisha na matunzo ya mtoto na akasisitiza japo walikua pamoja yeye aliendelea kumlea mwanae mwenyewe hadi walipotengana
Wanaume mjue tuu wanawake ni wavumilivu lakini kuna point wakifika wanakua wabaya kuliko ubaya wenyewe!!!!! Yaani Mungu alipowaambiwa muishi na wanawake kwa akili na hii ndio maana yake[emoji119][emoji119][emoji119]
Kwa asilimia kubwaKwa hiyo unasema anadanganya?
Tena waswahili kweli.Familia ya kiswahili.