Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Sijui kama ataweza kuhimili hili 🙌🙌🙌🙌
Anahitaji ushauri mzito sana wa kisaikolojia..

Kila mwanadamu anahitaji/anatamani kuwa sehemu ya jamii fulani.

Na kutoka ktk jamii husika anayotamani kuwa sehemu yake anategemea apate mrejesho chanya kama upendo, msaada, faraja, kuthaminiwa..

Ukimsikiliza huyo mzee, unaona kabisa amepambana sana kuwa sehemu ya hiyo familia akijua fika there is where he belongs, pamoja na kuliwa buyu hakuacha kujikomba and now wanakuja public hawamtambui.

Kiufupi, walichokifanya mama na momo hakina afya hata kidogo kwa mzee Abdul.
 
Bond ya Diamond na Queen imetengenezwa na mama yake Queen na mama Diamond sababu wote inavyo onekana mzee Abdul hakuwa na time nao,so walivyokuwa wakikutana walikuwa wanafarijiana sababu matatizo yao yanafanana.
Kumbe hata Queen na mwenyewe alitelekezwa na Mzee Abdul?!
 
Sioni Kama Kuna tatizo happy coz mzee Abdul mwenyewe anaelewa fika kwamba nassib sio mwanake na ndio maana alikimbia kulea
 
Kumbe hata Queen na mwenyewe alitelekezwa na Mzee Abdul?!
Queen mzee wake alimtukana matusi makubwa kwenye intvw aliyoifanya Soudybrown kipindi cha Shilawadu mpaka matusi wakawa wana ya mute.
 
Bond ya Diamond na Queen imetengenezwa na mama yake Queen na mama Diamond sababu wote inavyo onekana mzee Abdul hakuwa na time nao,so walivyokuwa wakikutana walikuwa wanafarijiana sababu matatizo yao yanafanana.
Queen ametumwa vizuri sana na mzee Abdul. Kwenye makuzi yake alikua mtoto wa tajiri pale kariakoo. Mzee Abdul alikua na pesa haswa, wakati huo diamond haendi shule sababu ya kukosa ada

Pamoja na mapungufu yote ya mama Diamond alijitahidi sana kwaweli kuhakikisha amemfikisha mtoto hapo alipo. Kulea watoto mwenyewe sio mchezo
 
Mi nikiwa na mama wa hivi na mi namkana kuwa si mama yangu. Huyu mama sijui hanaga washaur? Nasib ana reputation kubwa hapaswi kuwa kwenye headlines za ovyo hivi. Tumeshakubaliana waafrica/tz ni sociological fathers. Huyu mama kaleta taaruki had ya kisaikolojia
 
Anahitaji ushauri mzito sana wa kisaikolojia..

Kila mwanadamu anahitaji/anatamani kuwa sehemu ya jamii fulani.

Na kutoka ktk jamii husika anayotamani kuwa sehemu yake anategemea apate mrejesho chanya kama upendo, msaada, faraja, kuthaminiwa..

Ukimsikiliza huyo mzee, unaona kabisa amepambana sana kuwa sehemu ya hiyo familia akijua fika there is where he belongs, pamoja na kuliwa buyu hakuacha kujikomba and now wanakuja public hawamtambui.

Kiufupi, walichokifanya mama na momo hakina afya hata kidogo kwa mzee Abdul.
Kama kupambana hajapambana kwakweli😂😂😂😂😂😂
 
Queen ametumwa vizuri sana na mzee Abdul. Kwenye makuzi yake alikua mtoto wa tajiri pale kariakoo. Mzee Abdul alikua na pesa haswa, wakati huo diamond haendi shule sababu ya kukosa ada

Pamoja na mapungufu yote ya mama Diamond alijitahidi sana kwaweli kuhakikisha amemfikisha mtoto hapo alipo. Kulea watoto mwenyewe sio mchezo
Sasa kwa nn Queen alimtukana baba yake kipindi akihojiwa na Shilawadu,alimkashifu vibaya sana.
 
Queen mzee wake alimtukana matusi makubwa kwenye intvw aliyoifanya Soudybrown kipindi cha Shilawadu mpaka matusi wakawa wana ya mute.
Nilitaka kugususia hilo la matusi lakini nikahisi labda nitakuwa nachanganya kwa sababu ni kweli nakumbuka niliwahi ona interview moja hivi Queen Darleen alimnyenyea sana Mzee Abdul hadi nikashtuka kwamba kivipi anamuongelea mzee wake namna ile.
 
Mwenyewe nilishangaa ndipo nikajua mzee nae hamkujali Queen.
 
Mzee Nyange alikataa mimba, mzee Abdul nae akakataa mimba lakini akaendelea kujivinjari na mama Diamond.

Kwa maelezo ya mama Diamond amelea mwenyewe. Kasema mzee Abdul tangu akatae mimba hakuwahi jishughulisha na matunzo ya mtoto na akasisitiza japo walikua pamoja yeye aliendelea kumlea mwanae mwenyewe hadi walipotengana

Wanaume mjue tuu wanawake ni wavumilivu lakini kuna point wakifika wanakua wabaya kuliko ubaya wenyewe!!!!! Yaani Mungu alipowaambiwa muishi na wanawake kwa akili na hii ndio maana yake[emoji119][emoji119][emoji119]
Cha ajabu hapa hakuna akili ni ufala, kuna kusakiziwa mimba na kuna kulea mtoto wa single mother,mtu akisakiziwa then akajua kulea ni utata, na akijua toka mapema atalea tu..
Kuishi na mwanamke kwa akili uki apply hapa, hawa wazee wawili waliishi na mwanamke mpumbavu full stop.
Imagine kwa age yake now na vituko hivi, uzee wangu wote this shit feels embarrassing
 
Back
Top Bottom