Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unataka kucheka na kima kwenye hela? It is get rich or die trying. Na tola enzi watu wanamiliki mabunduki huko kiia dk 0 tu

Mko obsessed sana na Mali Mkuu.

Na sehemu kubwa ya migogoro yenu chanzo chake ni kugombania mali.

Badala ya mali mziendesha, zinawaendesha.
 
Mama Diamond hataki heshima anachotaka ni pesa, huoni anamuita Mzee abdul baba mlezi alafu wakati huo huo anasema Mzee Abdul hakumlea Diamond na aliikataa mimba yake. Huoni kama anajichanganya hapo.

Baba ili awe mlezi si ni lazima atoe huduma, sasa Mzee Abdul anakuwaje Baba mlezi alafu muda huo huo haihudumii familia yake akiwepo Diamond?

Hapo ndio unajua huyo Mama ni kichwaa boksi
At the same time ndo alimsindikiza na hospital kujifungua halaf wakapitia kwa dada yake "MAMA ESMA" hapa ndo nilicheka mnoo[emoji23][emoji23] watu are like.. heeh.. mama Esma tena? Kwahiyo Bi. Mwajey ndo mama Esma? Kumbe Esma si bintiyo?[emoji23][emoji23] this family is a crazy mofo
 
Keshasema esma sio ndugu wa Diamond bali ni mtoto wa mama mkubwa wake
 
Wakuu kumekucha.

Mama Diamond amepindua meza kibabe na rasmi sasa Diamond ni Mchaga au Mpare kutokana na jina la ukoo wake.

Nyange (jina hili lipo zaidi kwa Wachagga lakini linatumika hata kwa Wapare. Kwa Wachagga ni ukoo ambapo kwa Wapare ni jina tu la kawaida),

Haya sasa wachagga na wapare mkuje huku

Jokajeusi
sio kila nyange ni mchaga, kuna nyange waluguru
 
Mko obsessed sana na Mali Mkuu.

Na sehemu kubwa ya migogoro yenu chanzo chake ni kugombania mali.

Badala ya mali mziendesha, zinawaendesha.
Mkuu, wewe hupendi mali? Utakufa masikini endekeza tu kuwaza hivi. Mambo ya mali ni migogoro kila mahali. Kila mtu hutamanj kupata mali yake. Acha kukazia mkuu ufe maskini kwa kihoja cha kuwazia obssessions. Mwenyewe natamani sana utajiri ila wa halali. Sipendi umasikini. Mtu mwenye ndoto za mbali hawezi kusema mambo ya obssessions za mali. Kaa kizembe mkuu uyaone matokei
 
sio kila nyange ni mchaga, kuna nyange waluguru

Hakuna ushahidi wa Kihistoria na wala hakuna ukoo wa Nyange kwenye kabila la waluguru, nimeshatoa ushahidi hapo juuu, wewe kama unaushahidi hata wa kwenye google naomba uuweke hapa ili haya mambo yawe wazi.

Majina ya Kipare yanayoanzia na "N" Jina Nyange nimelikoleza

Nachai, Ndago, Ngasu, Ngomoi (Same), Ngomuo (Ugweno), Nguve, Ngwijo, Niarira, Nisaghurwe, Nkima, Ntarishwa, Ntekaniwa, Nyange (Jina hili lipo zaidi kwa Wachagga lakini linatumika hata kwa wapare. Kwa Wachagga ni ukoo ambapo kwa Wapare ni jina tu la kawaida), Nzao, Nziajose, Nziamwe,

Fuata link hiyo >>Wapare - Wikipedia, kamusi elezo huru

Na hiyo>>>https://groups.google.com/group/vumwegroup/attach/d37afbbc50682ef9/WAPARE.doc?part=2

Zipo nyingi.

Wewe toa link moja tuu kuthibitisha madai yako
 
Mkuu, wewe hupendi mali? Utakufa masikini endekeza tu kuwaza hivi. Mambo ya mali ni migogoro kila mahali. Kila mtu hutamanj kupata mali yake. Acha kukazia mkuu ufe maskini kwa kihoja cha kuwazia obssessions. Mwenyewe natamani sana utajiri ila wa halali. Sipendi umasikini. Mtu mwenye ndoto za mbali hawezi kusema mambo ya obssessions za mali. Kaa kizembe mkuu uyaone matokei

Nikiri wazi Mkuu napenda kuwa na mali za halali.

Na hii ni asili ya mwanadamu, kila mmoja anapenda kumiliki na kutawala.

Ndio maana route za watu kununua ardhi, kuanzisha miradi n.k hazikatiki.

Ila point yangu, ni pale mtu anagombea mali kiasi cha kumfanyia ubaya binadamu mwenzie kama kumuua, kumtishia maisha..

kwa mfano, ukimuua mtu , ukaenda jela unafaidika na nini mwisho wa siku? Lilikuwa ni suala tu la kudhibiti hisia zako.

Kwa maoni yangu, kuendeshwa na mali ni pale mtu unashindwa kujizuia kumfanyia binadamu mwenzio ubaya eti kwa sabb ya mali.

Je ni kweli, huo mgogoro mnaogombea unakuwa umekuzibia riziki zote za kufanikiwa?

Cc: Jokajeusi
 
Hakuna anayependa mali haramu mkuu 😀 😀 😀
 
Mwambie aache kuwaza kizamani jombaa. Me mwenyewe nataka tako nitalolitembelea niweke heshima dec. Mnafkiri umaskini sifa.

Non violence resolution ndio uzamani Mkuu?

Nionyeshe wapi Mkuu matumizi ya vurugu katika kutatua matatizo yameacha athari chanya?
 
Kile unachokiendesha ndicho kinachokuendesha
Mtu anaendesha gari na gari linamuendesha mtu, paka kafia kwenye jungu
 
Sina hakika kwa upande wa dyudyu...... Lkn diamond anafanana sn na mzee Abdul kuanzia sura domo hadi sauti.....
 
Nikiri wazi Mkuu napenda kuwa na mali za halali.

Na hii ni asili ya mwanadamu, kila mmoja anapenda kumiliki na kutawala.

Ndio maana route za watu kununua ardhi, kuanzisha miradi n.k hazikatiki.

Ila point yangu, ni pale mtu anagombea mali kiasi cha kumfanyia ubaya binadamu mwenzie kama kumuua, kumtishia maisha..

kwa mfano, ukimuua mtu , ukaenda jela unafaidika na nini mwisho wa siku? Lilikuwa ni suala tu la kudhibiti hisia zako.

Kwa maoni yangu, kuendeshwa na mali ni pale mtu unashindwa kujizuia kumfanyia binadamu mwenzio ubaya eti kwa sabb ya mali.

Je ni kweli, huo mgogoro mnaogombea unakuwa umekuzibia riziki zote za kufanikiwa?

Cc: Jokajeusi
Mkuu, hiyo wala haiapply uchaggani. Ni kila mahali. Na mpaka mparanganyiko utokee ina maana marehemu ama muhusika wa mali hakuweka sawa mambo. Kwamba ulomi kuja kudai mia mbili yake na panga umeona ishu sana eh? Hata mimi sitaki mazoea kwenye biashara. Kukopeshwa umefanyiwa hisani kwann usirudishe hela ga watu. Mtu anastruggle huko afikie malengo yake anajinyima hata kula na kuvaa vzr halaf uone mia 2 ni ndogo kwenye biashara? Usije ukajaribu kwangu pia nakukata kidari
 
Non violence resolution ndio uzamani Mkuu?

Nionyeshe wapi Mkuu matumizi ya vurugu katika kutatua matatizo yameacha athari chanya?
Jamaa yangu... peacefully resolution hani unayozungumzia? Yaan unavyosema hivi utafikiri ni kweli huko kilimanjaro ndo kila nyumba wanafanya haya na hakuna sehemu nyingine. Hii perception yako itakunyima mambo mengi mazuri. Badilika. Kila mtu anatafuta kwa jasho.
 
Back
Top Bottom