Mama Mkwe ana tabia ya kutusikiliza wakati tukifanya majambozi

We nae na mkeo hamjitambui na pia hamjiheshimu mna watu nyumbani afu mnajiachia kama mko peke yenu,kwani kwa kipindi hiki ambapo kuna mgeni mkifanya kwa ustaarabu radha inapotea?

Kitu kingine kinachonichekesha mama mkwe kama amekuja kutembea wiki moja inatosha huo mda wote anatafta nini ??ni mgonjwaamekuja kutibiwa?simama kwenye nafasi yako kuepusha vitu vya kijinga kijinga kama hivi
 

Sauti na mihemko vinakuja involuntarily, labda nimzibe mdomo kwa kiganja cha mkono
 
Jaribu kumuunganisha na mtu wa umri wake yaani apate kampani,atakuwa ni mpweke na anatamani mnayoyafanya! Na punguzeni mihemko akiwepo kama mumeshamjua tabia yake!
Mtalaka aseee!hata yeye ana hisia jamani lakini mkeo naye simwelewi anashindwaje kumfichia aibu hii mama yake afu nyie huko mkarekebisha mambo
 
Wewe ndiyo unaishi ki masikini na mkweo nyumba moja na corridor moja. UtafanyaJe mapenzi mkweo yupo jirani hivyo ?!. We kabila gani ?!
 
Umeleta mada humu ili Tu ushauriwe kuwa tembea na mama mkwe wako. Na ndio ushauri utakaoupata humu.

Nikuonye tu. Kosa kubwa utakalofanya katika maisha yako ni kutembea na huyo mama. Hakuna mtu asiye na nyege nakushauri funga zipu yako mbele ya huyo mama, muheshimu kama mama yako.

Ukijichanganya tu utapata aibu ya mwaka.
SHETANI ANA MBINU MILIONI MOJA ZA KUMUAIBISHA NA KUMHARIBIA MAISHA MTU.

Be smart.
 

Nimekuelewa mkuu, asante sana kwa ushauri mzuri, nitazingatia
 
Hakuna kitu kama hicho ni kujiendekeza tu et involuntary ivi we unajua involuntary actions wewe??

involuntary is something u cant control like ur heart beating, yawning, screaming, etc. Au nikutafsirie kwa kiswahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…