Mama Mkwe ana tabia ya kutusikiliza wakati tukifanya majambozi

Mkuu Pole Sana...ongea na shem amtengenezee mazngira arud home asee.......
 
soon BIMKUBWA atawashauri muende kwa mpalange
 
Kwa mama kwenye akili "TIMAMU" anaweza kwenda kwa mwanae wa kike aliyeolewa na kukaa tu bila sababu ya msingi? Ajue mwanae kaachana nae ili akaanzishe familia yake. Ni haki yake kwenda kwa mwanae wa kiume aliyeoa ili ashirikiane na mke wa mwanae kufanya kazi mbalimbali, hapo ni nyumba kwake, ila kwa mwanae wa kike aliyeolewa sio kwake, ni ukoo mwingine, aje tu kusalimia na kuondoka .
 
Alafu anakwambia kulia ni involuntary actions jamani, kheri sisi tulozaliwa na kukulia bush maana haya mambo ni mageni kwetu
Malezi mkuu, kuna jamaa humu wanampump mleta Uzi wanamwambia msokote na mama mkwe eti amekubali show,afu na jamaa kwa ufala eti anawaomba wampe maujanja ya kumla mama mkwe,mi ni mjinga ila not to that extent,(in ndalichako,s voice).

Viungo vyetu vinaitwa viungo vya siri,na tendo la ndoa linaitwa tendo la siri.
 
Ukute mama mkwe ndio wale wazee wa chaboπŸ˜‚ hapo haondoki kizembe, mwambie mwanaye amchane live...ila wewe kausha tu.
 
Naona harmonize unatengeneza mazingira ule kuku na yai .
 
Dah,malezi yanamata sana kwakweli
 
Nahisi tu aliposikia kelele alijuwa labdani ugomvi labda mnapigana, kama ujuavyo mama kwa mwanae ni kama kugusa mboni ya jicho lake akaamua aje asikilize kumbe makelele yenu yalikuwa ya raha tu hakuna ugomvi

Alafu kabla ujaconclude ungejiuliza mmemkuta mara ngapi, coz tabia ni jambo linalofanywa kwa kujirudia rudia

Wakati mwingine jaribu kuwa Positive
 
Ila kuna watu humu wana ushauri usiofaa kimaadili hata kidogo, yaani mtu anashauri jamaa akalale na Mama mkwe wake kabisa, this is real shit. Labda kama ame comment as joke, which is real bad.

Maoni ya namna hii yakiendelea kutolewa itafikia wakati mtu hawezi kuomba ushauri humu kwa jambo serious.

Hii Ina implies mmomonyoko mkubwa wa kimaadili uliopo miongoni mwetu.
 
Na wasi wasi na uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…