Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kapelekwa kwà baba halali wa mtoto, wewe baba mlezi tafuta wako.Habarini za usiku wapendwa
Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke wangu na wote hawatoi ushirikiano simu hawapokei wala kujibu sms yani ni kama hawataki mawasiliano kabisa na wakati tuna mtoto pamoja
Naomba msaada kwa mwenye uzoefu na mambo haya
Wewe ndio point ya udhaifu, badili attitude yako/mtazamo wako. Fanya kazi kwa bidii upate pesa.Habarini za usiku wapendwa
Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke wangu na wote hawatoi ushirikiano simu hawapokei wala kujibu sms yani ni kama hawataki mawasiliano kabisa na wakati tuna mtoto pamoja
Naomba msaada kwa mwenye uzoefu na mambo haya
Acha ukorofiHabarini za usiku wapendwa

Safi sana huo ndio uanaume usimwonee huruma mwanamke mjinga mjinga kama huyo ana viashiria vya umalaya.Hakika mkuu ngoja akaoambane huko yani kwasasa ata huruma sina tena
Una hela?Mkuu pengine unaweza kua sawa ila siwezi jua.
Kwa kithibitisho gani broAsilimia mia moja ni wa kwangu
Ngoja wamtembezee pengine atapata akili nakujua makosa yakeSafi sana huo ndio uanaume usimwonee huruma mwanamke mjinga mjinga kama huyo ana viashiria vya umalaya.
Ataishia kupigwa miti hovyohovyo na kuulizwa kaburi la baba wa mtoto liko wapi
Nimesha ligundua hilo na tayari nalifanyia kazi kiukweli inatakiwa wanaume tusiwe na huruma kabisa kwasababu mimi imeniponza adi kuja kushtuka mda umeendaWewe ndio point ya udhaifu, badili attitude yako/mtazamo wako. Fanya kazi kwa bidii upate pesa.
Yawezekana mkuu ila siwezi kujuaKapelekwa kwà baba halali wa mtoto, wewe baba mlezi tafuta wako.
Na yeye kakuogopa pia ndiyo maana kaona isiwe kesi kaamua kusepa. Sasa kwanini unalalamika yeye kukukimbia wakati unamuogopa na haupo tiyari kumuoa? Si afadhali umtafute wa kumuoa ambaye humuogopi kuliko kupoteza muda na huyo?Nililipa mahari tu mkuu ndoa niliogopa
NAKUBALI.Tafuta pesa
Ukiona kakuacha mazima kwasababu yoyote Ile, shukuru Mungu umejua mapema Maana hakua na upendo wowote na wewe, Acha kumbembeleza mtaalam, wala usijisumbue kumfatilia. Siku akirud atakua kapata somo kubwa hatakusumbua kamwe. FANYA MAMBO YAKO IKIWEZEKANA TAFUTA KIMBOGA CHA KUPUNGUZIA HAMU,itakusaidia kumsahauItabidi niwe karibu na kamchepuko lakini akijua si ndio anaweza kufanya kama sababu kuu.
Yaani kuna mtu mwenye uzoefu wa kutoroshewa mke na mama mkwe? Du!Habarini za usiku wapendwa
Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke wangu na wote hawatoi ushirikiano simu hawapokei wala kujibu sms yani ni kama hawataki mawasiliano kabisa na wakati tuna mtoto pamoja
Naomba msaada kwa mwenye uzoefu na mambo haya
Thread ifungwe hapa😂🤣💪Tafuta Marafiki zake au ndugu zake wakaribu wape nwaliko wa uongo Kuwa mwezi ujao unavuta chuma nyingine alafu tulia.
Case closed, hi ndo kanuni yangu.Sitaki kuwa mshauri wa mapenzi maana hata mimi ninamaumivu yangu , ila bro kwakifupi wanakufanyia hivyo kwasababu huna pesa
Achana na habari za kumtafuta huyo mwanamke katafute pesa
Atafute pesa aone kama huyo mama mkwe hajamrudishia binti yake huku akimbembeleza kwa kumwambia Baba msamehe mwenzako mtengeneze maishaCase closed, hi ndo kanuni yangu.
👉Hata home Waki nivuruga, naenda kutafuta hela kwa hasira 🤒.
👉Kisha nafanya Mambo muhimu, UTA sikia baba ubarikiwe Sana😀😂