Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

Habarini za usiku wapendwa

Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke wangu na wote hawatoi ushirikiano simu hawapokei wala kujibu sms yani ni kama hawataki mawasiliano kabisa na wakati tuna mtoto pamoja

Naomba msaada kwa mwenye uzoefu na mambo haya
Kapelekwa kwà baba halali wa mtoto, wewe baba mlezi tafuta wako.
 
Habarini za usiku wapendwa

Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke wangu na wote hawatoi ushirikiano simu hawapokei wala kujibu sms yani ni kama hawataki mawasiliano kabisa na wakati tuna mtoto pamoja

Naomba msaada kwa mwenye uzoefu na mambo haya
Wewe ndio point ya udhaifu, badili attitude yako/mtazamo wako. Fanya kazi kwa bidii upate pesa.
 
Acha ukorofi

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio point ya udhaifu, badili attitude yako/mtazamo wako. Fanya kazi kwa bidii upate pesa.
Nimesha ligundua hilo na tayari nalifanyia kazi kiukweli inatakiwa wanaume tusiwe na huruma kabisa kwasababu mimi imeniponza adi kuja kushtuka mda umeenda
 
Ikiwa huyo mwanamke ukiamua kumuuza hafiki bilioni kumi achana naye,nenda Mashariki ya dunia kasake miamala.
 
Nililipa mahari tu mkuu ndoa niliogopa
Na yeye kakuogopa pia ndiyo maana kaona isiwe kesi kaamua kusepa. Sasa kwanini unalalamika yeye kukukimbia wakati unamuogopa na haupo tiyari kumuoa? Si afadhali umtafute wa kumuoa ambaye humuogopi kuliko kupoteza muda na huyo?
 
Itabidi niwe karibu na kamchepuko lakini akijua si ndio anaweza kufanya kama sababu kuu.
Ukiona kakuacha mazima kwasababu yoyote Ile, shukuru Mungu umejua mapema Maana hakua na upendo wowote na wewe, Acha kumbembeleza mtaalam, wala usijisumbue kumfatilia. Siku akirud atakua kapata somo kubwa hatakusumbua kamwe. FANYA MAMBO YAKO IKIWEZEKANA TAFUTA KIMBOGA CHA KUPUNGUZIA HAMU,itakusaidia kumsahau
 
Habarini za usiku wapendwa

Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke wangu na wote hawatoi ushirikiano simu hawapokei wala kujibu sms yani ni kama hawataki mawasiliano kabisa na wakati tuna mtoto pamoja

Naomba msaada kwa mwenye uzoefu na mambo haya
Yaani kuna mtu mwenye uzoefu wa kutoroshewa mke na mama mkwe? Du!

Anyway, tuma washenga wako wakaulizie wakishindwa toa ultimutum mke arudi katika kipindi kisichozidi miezi kadhaa. Ikipita kimya fungua kesi ya talaka.
 
Sitaki kuwa mshauri wa mapenzi maana hata mimi ninamaumivu yangu , ila bro kwakifupi wanakufanyia hivyo kwasababu huna pesa

Achana na habari za kumtafuta huyo mwanamke katafute pesa
Case closed, hi ndo kanuni yangu.
👉Hata home Waki nivuruga, naenda kutafuta hela kwa hasira 🤒.
👉Kisha nafanya Mambo muhimu, UTA sikia baba ubarikiwe Sana😀😂
 
Atafute pesa aone kama huyo mama mkwe hajamrudishia binti yake huku akimbembeleza kwa kumwambia Baba msamehe mwenzako mtengeneze maisha
 
Back
Top Bottom