Mama Mulamula umekosea, unasema Ulaya wanatuleteaga vitu vya sumu huku Afrika: Una ushahidi wa hilo?

Kwani uongo? Hizi cancer na visukari mpaka vya watoto wadogo vinatoka wapi?
 
Mimi hapa kwangu electronics zangu zote hamna hata moja made in Tanzania. Kabla ya kumkataa mzungu basi tukatae na vitu vyao. Kutwa mzungu mzungu lakini vitu unavyovitumia kavitengeneza huyo huyo.
Wewe chizi unashindwa kutofautisha Aina za biashara hiyo ya vyombo ni biashara yenye manufaa kwako ndio maana unawashukuru na wanazo biashara ambazo hazina manufaa kwako ndugu usiwe mbumbumbu mabeberu hawatupendi wanachojali wao ni faida tu.
 
Lkn kwa Clip za wazungu nilizowahi kuziona wao wenyewe wakikosoa chanjo ya Corona kwa Kweli hata mimi nina wasiwasi nao.
 
Kisa hawezi kudhibitisha basi inakua uongo?
 
Lkn kwa Clip za wazungu nilizowahi kuziona wao wenyewe wakikosoa chanjo ya Corona kwa Kweli hata mimi nina wasiwasi nao.
You are right lkn issue ni kuwa deliberately wanatuletea vitu vyenye sumu. Hiyo deliberate anaweza akaithibitisha? Kwa rank ya mulamula asiwe anabwatuka bila ushahidi. Akienda ulaya kwenye vikao akatokea mzungu akamuuliza hilo swali si ataaibika?
 
Hata JIWE alikuwa anawaponda kumbe nyuma ya pazia anaenda na BAKULI kuwapigia magoti kuomba misaada na mikopo.
Kweli kabisa,ila Jiwe si wa kumfanyia "reference" kwenye mambo ya msingu. Yule kwenye uchawi,uongo,wizi,utapeli na uuaji ni sahihi.
 
Kutumaliza wote kama walivyofanya Hawaii ni ngumu kwa mazingira ya sasa, isipokuwa wanafanya kutupunguza na kutuwekea elements fulani fulani kwenye vinywaji au vyakula ama madawa ili tukivitumia tudumae miili na akili. Pia wanatuletea magonjwa kama Ebola, AIDS, Cancer ya shingo ya uzanzi na chanjo yake na sasa COVID ili idadi ya waafrika izidi kupungua. Ni mikakati ya miaka 50 - 200 mbele ndiyo maana the late JPM alistukia hizo programme akatuasa tuzidi kufyagiana tuzae kama sungura!
 
Kwani uongo? Hizi cancer na visukari mpaka vya watoto wadogo vinatoka wapi?
Vinatoka kwa wazungu. Kuna maziwa ya ya unga toka bondeni yaligundulika yana composition za sumu yakapigwa stop na serikali. Mzee Baba alitutangazia siku moja kuwa kuna chanjo zilikuwa zinatolewa kuzuia cancer kwa wanawake, walikuwa wanapewa hasa watoto wa kike mashuleni, ikaonekana kumbe zinawazuia wasiweze kuwa na uwezo wa kushika mimba wakikua! mambo mengi ya hovyo Mzee baba alikuwa anatudokeza wananchi wake lakini mpaka leo kuna watu hawaelewi wanasubiri fursa za kupigia kwenye machanjo hayo hayo ya kibeberu!
 


Ni kweli hawawezi kutumaliza kabisa lakini mkishakuwa wachache na lenu halipo kwani wingi nayo ni factor ya mapambano (struggles) katika ulimwengu wa leo.
 
Wote mnaopinga kwamba wazungu, sio wote wale mabeberu wamekuwa na mipango ya kuwamaliza waafrika weusi siwaelewi. Hivi mnajus kwa nini nchi ya Argentina hakuna watu weusi ambao ni raia. Nchi hiyo ilipokea watumwa weusi wengi tu karne nyingi zilizopita. Lakini leo hakuna mtu mweusi. KALAGA BAO na kutetes mabeberu.
 
Kwani polio vaccine twatengeneza wenyewe..? Walishindwa kupitia huko? Chanjo za ndui je? Madawa tunayoagiza nje je? Tujitafakari!!!
 
Of all the people sikutegemea mwana diplomasia huyu kuropoka jambo kama hilo bila kuwa na ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…