zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mokazesema unataka kurudi utumwani
ww na mizungu toka lini mkawa na umoja!?
Ikiwemo smartphone unayotumia, bombardier mlizonunua, Defibrillator za kusukuma moyo..... Ama ni kwenye vyakula tu?Mbona hilo swala la Wazungu kuwaekea sumu wa Africa ni jambo liko wazi tatizo letu wa Africa ni watu tunaosahau mapema sana.
Sasa mpango wa siri ndio uujue mpaka wewe halafu useme SIRI? Au ulikuwa unamaanisha nini!Zipo tetesi za mpango wa siri za wazungu kuua Waafrika weusi ili baadaye vizazi vyao vije ku take over ardhi ya Africa, wanatumia njia mbalimbali ikiwemo njia ya Vaccine na Fortifications ya madawa (kampuni ya SANKU) katika unga wa vyakula nk.
Tatizo letu ni kwamba sisi vyombo vyetu vya usimamizi wa mambo ya kiuchunguzi mfano TFDA na TBS au ofisi ya mkemia mkuu havina ueledi mkubwa au ni butu tukiwategemea hao hao tunaowashutumu watusaidie kiutaalamu katika kuchunguza na kukagua dawa wanazotuletea, in that case we are victims.
Kwani polio vaccine twatengeneza wenyewe..? Walishindwa kupitia huko? Chanjo za ndui je? Madawa tunayoagiza nje je? Tujitafakari!!!
Sasa mpango wa siri ndio uujue mpaka wewe halafu useme SIRI? Au ulikuwa unamaanisha nini!
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Yaani wazungu wauewe waafrica wote ili waje kutawala tena? Hivi akili sifuri kama hizi mnatoa wapi jamani.Zipo tetesi za mpango wa siri za wazungu kuua Waafrika weusi ili baadaye vizazi vyao vije ku take over ardhi ya Africa, wanatumia njia mbalimbali ikiwemo njia ya Vaccine na Fortifications ya madawa (kampuni ya SANKU) katika unga wa vyakula nk.
Tatizo letu ni kwamba sisi vyombo vyetu vya usimamizi wa mambo ya kiuchunguzi mfano TFDA na TBS au ofisi ya mkemia mkuu havina ueledi mkubwa au ni butu tukiwategemea hao hao tunaowashutumu watusaidie kiutaalamu katika kuchunguza na kukagua dawa wanazotuletea, in that case we are victims.
Hawa ni black Americans na wa Afrika Kusini.. Maovu waliyo wahi kufanyiwa na wazungu..Ikiwemo smartphone unayotumia, bombardier mlizonunua, Defibrillator za kusukuma moyo..... Ama ni kwenye vyakula tu?
Hzi conspirancy ni level ya FB sio JF
Ni kweli hakuna kitu kama hicho Mpango wa siri Ila inakuwa kwa mhusika mwenyewe Kama alikosana nao wakawa wanamuwinda hivyo si kusemea wote wanawindwa.Sasa mpango wa siri ndio uujue mpaka wewe halafu useme SIRI? Au ulikuwa unamaanisha nini!
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ni kweli Balozi Mulamula kasema hivyo? Maneno yake verbatim yako wapi?Mkuu,tukubali tukatae viongozi wetu wana safari kubwa sana katika kuongoza nchi katika zama hizi.Inawezekana ametoa kauli yake hio kwa sababu ya ushamba,ujinga au ujuaji.Ila hizi technolojia za wazungu zinatisha sana.Mfano hio mRNA uliyoweka hapo ina uwezo wa kubadili tabia ya GENES,Maana yake ni kwamba kama wanataka kufanya manipulation ya GENES zetu wanaweza na hatuna utaalam wa kukataa au hata kuthibitisha.Tunachoweza fanya ni kupeleka watoto shule,kuwa extra vigilant katika kila jambo.
Nampa moja kuhusu waIsrael walivowawekea wahamiaji wa Ethiopia sumu ili wanawake wao wawe matasa badae wasizaliane...People need to research aseeMbona hilo swala la Wazungu kuwaekea sumu wa Africa ni jambo liko wazi tatizo letu wa Africa ni watu tunaosahau mapema sana.
Hakuna anayekataa kuwa Wazungu hawajawahi kufanya maovu kwa watu weusi nachopinga ni kuja na cheap theories sijui Vaccination ianzishwe ili kuua waafrika ilihali mnatumia ARV,Polio,Insulin, CT scan n.k zinazotengenezwa na hao mabeberu sasa swali linakuja kma mmeamua kususia chanjo suseni kila kitu sio mnachagua vya kupinga ni unafikia.Hawa ni black Americans na wa Afrika Kusini.. Maovu waliyo wahi kufanyiwa na wazungu..
View attachment 1745970
View attachment 1745971
View attachment 1745972
Alafu hata hizo elimu zao utaskia master of science china mara marekani mara canada yani hiyo elimu yenyewe wanakupa wao leo uwapinge none sense kabisaMimi hapa kwangu electronics zangu zote hamna hata moja made in Tanzania. Kabla ya kumkataa mzungu basi tukatae na vitu vyao. Kutwa mzungu mzungu lakini vitu unavyovitumia kavitengeneza huyo huyo.
wote mnarudia kelele zile zile za weusi kwenye mataifa mengine. Nachouliza nchi gani HURU ya kiafrika iliwahi tumiwa madawa ya sumu na watu wakafa? Yaani hizo CDC zina kazi gani?Nampa moja kuhusu waIsrael walivowawekea wahamiaji wa Ethiopia sumu ili wanawake wao wawe matasa badae wasizaliane...People need to research asee
wote mnarudia kelele zile zile za weusi kwenye mataifa mengine. Nachouliza nchi gani HURU ya kiafrika iliwahi tumiwa madawa ya sumu na watu wakafa? Yaani hizo CDC zina kazi gani?
Hapo ulipo unatumia smartphone ya beberu, shuka la beberu, ulichanjwa yellow fever ili usafiri nje hatusikii kelele ila inapokuja suala la COVID oooh wanataka kutuua? Why wasiwaue kwenye chanjo ya Ebola na yellow fever ama ARV waje kuwaua kwa Astra Zeneca?
Tuache inferior mindset.... Biological warfare is real but counteracting is logical than complaints and vague conspiracy theories!! Ina maana hamuiamini NEMC ama CDC/TFDa
Umechukulia my post out of context.the guy wanted an example,I gave him one..an inferior mindset is that which is not inquisitive. And nimeeleza Sana hii Habari, I am not anti vaxx ,I am just skeptical about a vaccine that was mass produced under relaxed rules and doesn't protect you against all variants..CDC na FDA za Marekani reduced the rules of approval of a vaccine from 5 years to months just to pass this vaccine..In a sense I get it b'se the world is still in shock,but when you go about silencing a vaccine-skeptics in the media and all social media platforms,what does that tell you!? Halafu usi+lump kila mtu mwenye mawazo tofauti na ww kwenye kikundi kimoja ,that tells me you see the world in black and white and forget there is grey.unafikiri wote ni "walewale tunaoita wazungu 'mabeberu' " ,usidhani wote akili zetu ni sawawote mnarudia kelele zile zile za weusi kwenye mataifa mengine. Nachouliza nchi gani HURU ya kiafrika iliwahi tumiwa madawa ya sumu na watu wakafa? Yaani hizo CDC zina kazi gani?
Hapo ulipo unatumia smartphone ya beberu, shuka la beberu, ulichanjwa yellow fever ili usafiri nje hatusikii kelele ila inapokuja suala la COVID oooh wanataka kutuua? Why wasiwaue kwenye chanjo ya Ebola na yellow fever ama ARV waje kuwaua kwa Astra Zeneca?
Tuache inferior mindset.... Biological warfare is real but counteracting is logical than complaints and vague conspiracy theories!! Ina maana hamuiamini NEMC ama CDC/TFDA?
Yaani wazungu wauewe waafrica wote ili waje kutawala tena? Hivi akili sifuri kama hizi mnatoa wapi jamani.
Kwani polio vaccine twatengeneza wenyewe..? Walishindwa kupitia huko? Chanjo za ndui je? Madawa tunayoagiza nje je? Tujitafakari!!!
Vaccines zote za watoto zinatok huko na bado watoto wanaozitumia ukubwani hawana tatizo wanazaa etc etc. Achana na rubbish theories