Mama ntilie Tanzania wachafu; wa Rwanda wana usafi wa hali ya juu

Wanyaruanda tunao uku kwetu ata wanavyo andaa maziwa yao tangu ukamuaji,vigaa vya kutunzia, mpaka mtindi kila kitu kipo safi. Uwezi kukuta maziwa ya mnyaruanda ameyawekea maji kamwe ila wabongo sasa.
Sawa ila wanautamaduni wa kujambia kwenye madumu yaaziwa Ili yawe matamu na kudumisha uteja
 
Acha nikuite mjinga,mpumbavu na mengine mengi. Ripoti ya wafaransa.
Wewe unataka ujilinganishe na wafaransa?
Kwa nini uishi maisha kama ya wanyarwanda? Wanazidi usafi wa Tanzania. Unaamini hao wachafu wa Tanzania,na wao wanawazidi ujanja kuandaa chakula kitamu? Hakuna mkamilifu kwa vyote.
Na nguvu,muda na MBs ulizotumia kusearch hilo andiko la wafaransa, ungeweza kumuelekeza hata mmoja nana ya kuweza hayo mazingira safi.
Labda ungeongelea hilo swala la kulelea watoto kazini.
Ila kumbuka. Si kwamba wao hawakupenda kwenda bungeni,ni maisha tu.
Hao watoto wanaopelekwa huko wamewazaa na nyani? Hicho ujue ni chanzo cha wanaume wasiotambua wajibu wao. Wapo ambao wana kazi nzuri,wana pesa nzuri,ila wamewatelekeza watoto wao. Hongera kwa wanawake wanaopambana kuwatunzia watoto wa kiume damu zao,kwa shida. Hakika na wewe ni mmoja wapo.
 
Unashangaa nini mkuu?

Kwenye hii dunia, ni vitu vichache sana ndiyo haviliwi. Kama siyo jitihada za wakoloni, kuna maeneo walikuwa wakila mpaka nyama za binadamu. Sasa si bora wanaokula paka na mbwa kuliko binadamu?

Kama wanakula paka acha tu waendelee na huo utaratibu maadam hautuhusu. Hata wewe ungekulia kwenye utamaduni wanakokula paka ingelikuwa ukimwona paka anarandaranda bila utaratibu unaanza kumpigia hesabu kwa mtazamo wa kitoweo.
 
Muulize mbona nyie mnakula nyoka! Hajawahi kwenda soko la samaki Posta kule akaone madude yaliyopo?
 
Unashangaa nini mkuu?

Kwenye hii dunia, ni vitu vichache sana ndiyo haviliwi. Kama siyo jitihada za wakoloni, kuna maeneo walikuwa wakila mpaka nyama za binadamu. Sasa si bora wanaokula paka na mbwa kuliko binadamu?

Kama wanakula paka acha tu waendelee na huo utaratibu maadam hautuhusu. Hata wewe ungekulia kwenye utamaduni wanakokula paka ingelikuwa ukimwona paka anarandaranda bila utaratibu unaanza kumpigia hesabu kwa mtazamo wa kitoweo.
Binadamu kale aliliwa sababu ya spiritual. Kulikuwa na ibada maalum inayoleta maana ya mtu kuliwa. Unakula paka ina mana bata huwaoni au?
 
Tusijisahau na kuwalaumu tu mama ntilie, je wateja wanaweza kumudu gharama za usafi wa baadhi ya gharama au wateja ndiyo wanaosababisha mama ntilie kuleta mazoea katika biashara zao.
 
Wanyaruanda tunao uku kwetu ata wanavyo andaa maziwa yao tangu ukamuaji,vigaa vya kutunzia, mpaka mtindi kila kitu kipo safi. Uwezi kukuta maziwa ya mnyaruanda ameyawekea maji kamwe ila wabongo sasa.
🤣🤣🤣🤣bongo nusu lita maji na nusu maziwa inakamilisha lita yaan uchafu
 
Back
Top Bottom