Mama Polepole: Nirudishieni mwanangu akiwa hai au amekufa, alikuwa mtoto wa kipekee

..kina Mama waliopotelewa na watoto wao waunganishwe wapaze sauti watoto wao wapatikane. Chadema iwatengenezee hawa kina Mama jukwaa.

Cc Erythrocyte
Kwann unataka chadema ndio iwatengenezee jukwaa?

Huu upuuzi wa kutegemea chama cha siasa kikuletee maendeleo ndo mana ccm wanatuona sisi ni mbwa
 
Wewe ndo utalia na kusaga nywele
Haya maneno yako hayashtui
Kwanza huyo mama ana act tu we huon yani hatii hata huruma 😅
Ukinganisha na mama kabendera enzi zile za HP Akiwa anajiona mungu mtu
Wewe ni mpumbafu mkubwa, siku yako nawe ipo Mungu si athumani
 
🤣🤣🤣🤣
Mama wa kwanza kutojua tabia za mwanae...et HP ana upendoo😅
Vipi, wewe ni miongoni mwa yale mashetani punguani?

Wanafamilia wanaogoswa moja kwa moja na Polepole wamesema hivyo, wewe punguani unakuja na comments za kijinga!!
 
Hiki kilio cha mana yake pole pole ni huzuni mno,kinanikumbusha kilio cha mama yake kabendera kipindi polepole akiwa mwenezi wa ccm,yule mama mpaka mauti yalimfika kwa stress za kilichokua kinafanyiwa kwa mwanae 🥲
 
Hilo group lenu la chuo naamini ni la wanafunzi kama ni la wakufunzi, basi safari ya nchi hii ni ndefu sana. Your actions measure your perfection.

Tulipowaambia Polepole ana matatizo ya akili, mlitoa povu na kumuona ni shujaa wenu.

Msomi halisi ni yule anayejua cha kuongea, huku akizingatia wakati na hadhira anayoongea nayo pamoja na matokeo (-/+) tarajiwa kwa anachokiongea

Mimi siamini kama mtu unakuwa msomi walau wa kadigrii kamoja halafu unamuelewa Polepole kwa utoto alikuwa anafanya..
 
Hiki kilio cha mana yake pole pole ni huzuni mno,kinanikumbusha kilio cha mama yake kabendera kipindi polepole akiwa mwenezi wa ccm,yule mama mpaka mauti yalimfika kwa stress za kilichokua kinafanyiwa kwa mwanae 🥲
Polepole alimfanya nini kabendera?
 
Embu angalia hiyo vedeo clip vizuri utagundua ninachosema😅 mama ni actress kwanza hatii huruma anajingelesha kuzua taharuki
Upo kwenye ubongo wake ukagundua hatii huruma , kutia kwake huruma mpaka wewe uone kutasaidia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…