Mama Samia ameanza vibaya kwa kupuuza kuvaa Barakoa

Mama Samia ameanza vibaya kwa kupuuza kuvaa Barakoa

...
dudus Kwa hiyo Joe Biden kachanjwa lakini bado anawakinga wenzie wasipate corona kwa kuvaa barakoa yake😐😐
Kwa maana hiyohiyo ni kwamba Chanjo haifanyi kazi na Biden ana corona kwa hiyo anavaa barakoa asiwaambukize wengine🙄🙄🙄🙄🙄🙄
... mama D mbona unaonekana kuwa smart sana upstairs how comes unauliza swali la ovyo kiasi hiki? Iko hivi, kuchanjwa haikufanyi unapovuta hewa yenye virusi visiingie mwilini mwako ila kwa kuwa una kinga havitakuathiri.

Ukivipumua unasambaza kwa wengine kama kawaida na wasio na kinga kama yako ole ni wao! Naona ulitaka kujenga hoja ya kipumbavu "kinga haifanyi kazi" ila ukweli ndio huo! Vaa barakoa uwakinge wengine huo ndio ubinaadamu.
 
Kuna uwezekano wa kuwa na Rais mwingine mpya miezi michache ijayo kama huu uzembe wa hali ya juu wa kuendelea kuidharau COVID kwa kutovaa barakoa na kuheshimu social distance.
Tuwe taifa la kuomboleza mwaka mzima.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
... hatari sana Mkuu. Ila Mama Janet ameonekana akishuka kwenye ndege Dodoma jioni hii akiwa ndani ya barakoa hongera kwake ameokoa makumi ya watu. Pia hongera kwa viongozi wa kanisa pale uwanjani (Uhuru) jana kwa kutuma ujumbe mzito kwa jamii kwa zile barakoa ambazo kila mmoja alivaa.
Sijui viongozi wetu wamesahau au ni makusudi tu kuweka ulazima wa watu kuvaa barakoa na kuweka matank ya maji nje ya uwanja.

Pia kuweka limit ya watu watakao ingia ndani ya uwanja
 
Nimependa akili ya kumvalisha mama Janet Barakoa..

Pretty not her idea..

Ni set up ya kuhamisha magoli taratibu(strategic good move)..

Kwa nini asingevaa since then and why now?

Mama Samia kuvaa barakoa si suala la kukurupukia, anatakiwa alihandle with great wisdom.

Kuna Public perception ambayo tayari imeshatengenezwa na the late kuhusu korona, ambayo ilipata uungwaji mkono si tu na wananchi ila pamoja na safu yake yote ya uongozi.

Kwa maoni yangu kubadili huu mtizamo si suala la kukurupukia...

Anaweza kuvaa barakoa hata sasa, but guess what pro-magufuli watamuona kama msaliti na aliyekuwa na nidhamu ya woga sana. Which is not a good starting point.

Na endapo atakurupukia hiyo barakoa, huenda kuna hatihati ya kuligawa taifa badala ya kuliunganisha mapema.

Nawasilisha
 
Sijui viongozi wetu wamesahau au ni makusudi tu kuweka ulazima wa watu kuvaa barakoa na kuweka matank ya maji nje ya uwanja.

Pia kuweka limit ya watu watakao ingia ndani ya uwanja
... mchuma janga hula na wa kwao; let's wait and see. Muda ni mwalimu bora zaidi.
 
... mama D mbona unaonekana kuwa smart sana upstairs how comes unauliza swali la ovyo kiasi hiki? Iko hivi, kuchanjwa haikufanyi unapovuta hewa yenye virusi visiingie mwilini mwako ila kwa kuwa una kinga havitakuathiri.

Ukivipumua unasambaza kwa wengine kama kawaida na wasio na kinga kama yako ole ni wao! Naona ulitaka kujenga hoja ya kipumbavu "kinga haifanyi kazi" ila ukweli ndio huo! Vaa barakoa uwakinge wengine huo ndio ubinaadamu.

Si ndio huko walitangaziwa kwamba waliokwisha chanjwa wasivae barakoa wala social distancing. Mbona hawakusema waendelee kuvaa masks ili wawalinde wengine?
Acheni basi kutuchanganya dudus . Yeye hajamaliza chanjo????
 
... hujaelewa ulicho-quote. Mama Janet kaonekana hadharani na barakoa leo; una maoni gani?
 
Aisee swala lala Mama Samia kutokuvaa barakoa limenishangaza na kunisikitisha sana.

Wasaidizi wa Rais Samia wanapaswa kujua kuwa usalama sio kuvaa miwani nyeusi na kuzungusha shingo huku na kule bali ni kumlinda muhusika dhidi ya mashambulio yote ikiwemo mashambulio ya kibaolojia kama hili la Corona.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom