kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Lete ushahidi barakoa inazuia koronaAisee swala lala Mama Samia kutokuvaa barakoa limenishangaza na kunisikitisha sana..
Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete ushahidi barakoa inazuia koronaAisee swala lala Mama Samia kutokuvaa barakoa limenishangaza na kunisikitisha sana..
Na anaanguka anguka kwenye ngazi pia.Joe Biden kachanjwa lakini muda wote kavaa barakoa.
Mlikuwepo wakati anamtafuta, watu wambea!Group linalomzunguka ndio linampumbaza namshauri alitimue lote. Akae sana na Kikwete atamsaidia Kikwete hajawahi Shindwa vita yeyote even Marehemu alimtafuta sana akaambiwa utaondoka wewe Jk Mtoto wa Mjini
Hakuna asiyekuwa mjinga dunia hii. Nauliza ili unitoe huo ujinga kwenye hili ili nibaki na ujinga wa vitu vingine.Unaeleweka.
Kuanzia mwezi Mei mwaka 2020, hakuna Mtanzania hata mmoja aliyekufa kwa Covid...
Kinachoshangaza ni kila mtu kujigeuza mtaalamu wa tiba.... Kma wataalam wa WHO ambao wana PhD kabisa za masuala ya virology wameshauri (Not limited to) Barakoa kma tool ya ku control maambukizi mnapokuja na ujuaji mwingi ina maana wao hawakufanya risk assesment?Evarist Chahali nani aliyekwambia Barakoa ndo inakinga Corona ? au akili zako na uwezo wako wa ufahamu ndo umeishia hapo?...
Huu ni uongo, there is no science in your context.Evarist Chahali nani aliyekwambia Barakoa ndo inakinga Corona ? au akili zako na uwezo wako wa ufahamu ndo umeishia hapo?...