Mama wa kambo hawezi kuwalea sawa watoto wake na wa mwengine, tuwaache watoto waishi na mama zao ama kwa ndugu wa karibu ila sio vinginevyo

Hatari alikua anakuimbisha verse zenye vina mwanzo kati na mwisho. Kumamaye ungemkorogea chokaa.
Hadi nafika form Chee sumu ilikuwa shingoni. Ilikuwa napata one more chance namfumua vibaya mno yule maza af ingekuwa story ukoo mzima. I was Fed up na dingi mkubwa alikuwa kashaelewa kuwa huyu chalii tayari kashakomaa atapiga tukio akatutenganisha.
 
Huyo shangazi mchaga chenga roho mbaya tu, mie nina bahati ya mashangazi wazungu wa roho tu. Sijaona kipengele kwa mashangazi 😀😀😀
Wengine tulipata na mashangazi wachawi. Wana-trend kwenye ukoo kwa sifa ya uchawi

Ptuuuuu! Mdomo koma! Ngoja ninyamaze. Nisije kufatwa usiku nikageuzwa kunguru "KWAAA!" "KWAAA" "KWAAAA"

HoheHahe Nikawa Nazurula kwenye makaro ya watu tu wanapooshea vyombo 😅😅😅👍🏾
 
Hadi nafika form Chee sumu ilikuwa shingoni. Ilikuwa napata one more chance namfumua vibaya mno yule maza af ingekuwa story ukoo mzima. I was Fed up na dingi mkubwa alikuwa kashaelewa kuwa huyu chalii tayari kashakomaa atapiga tukio akatutenganisha.
Safi sana.
Dawa ya watu hao ni kuwa mwehu zaidi yake.
 
Mwanaume husimamia morals ,rules na goals. Hivyo ni ujinga au kukosa imani kuamini kuwa chakula na upendo ulio balance ndivyo vinavyomfanya moto akue. Mtoto hukua kwa mpango wa Mungu tu. Kwa mateso niliyopitia anajua Mungu mwenyewe alinivusha vipi, Baba yeye alinijaza morals za ujasiri tu ,elimu nimeitoa ujombani. Maana alichofanikiwa ni kunifanya ni mtegemee emotionally tu. Mwisho:Mtoto alelewe kwa baba tu ,iwe kea shida ama raha. #Maisha magumu ni elimu inayopita zote.
 
Uliishi katika mazingira ya walezi aina gani ?

Baba wa nyumba alikuwa baba, mjomba, ba mkubwa au?

Mama wa nyumba alikuwa mama, mama wa kambo, shangazi, au ?
 
Mtoto kama mama yake yupo aishi na mama yake labda awe amefariki na bibi yake hayupo
Sio tu mama wa kambo wabaya pia hata ndugu hawawezi ishi na mtoto wa ndugu nikuambie tabu ipo pale pale
Daaaaah umenikumbusha mbali sana . Nimelelewa na mama mdogo mke wa Baba yangu mdogo mateso yalikuwa makali nilitoroka
 
Daaaaah umenikumbusha mbali sana . Nimelelewa na mama mdogo mke wa Baba yangu mdogo mateso yalikuwa makali nilitoroka
Mama mdogo inatumika kwa wadogo zake mama yako mzazi tu, huyo muite mke wa bamdogo tu
 
Daaaaah umenikumbusha mbali sana . Nimelelewa na mama mdogo mke wa Baba yangu mdogo mateso yalikuwa makali nilitoroka
Mtoto anakuwa salama kwa mama yake tu wengine hakuna ninakuwa ilimradi liende tulolelewa kwa ndugu habari tunayo
 
That situation nimeipitia,,ila mwanamke wangu afanye yote anayojua siyo kunitesea damu yangu aisee sitaona tabu kumfurusha,,maana wapo pia wenye roho ya huruma tutawezana.
 
Ukiolewa kwa karne hii ukubali yote,kulea mtoto wa mwanamke mwenzio,

Najua wapo wabaya lkn si kama watu walivyokariri,wema wapo wengi na wanalea vizuri tu,

Sema watoto wa karne hii ni mtihani kwenye malezi,

Na pia hao watoto wanapandikizwa sumu na mama zao wazazi ni wa hovyo hatari zaidi ya koboko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…