G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Hadi nafika form Chee sumu ilikuwa shingoni. Ilikuwa napata one more chance namfumua vibaya mno yule maza af ingekuwa story ukoo mzima. I was Fed up na dingi mkubwa alikuwa kashaelewa kuwa huyu chalii tayari kashakomaa atapiga tukio akatutenganisha.Hatari alikua anakuimbisha verse zenye vina mwanzo kati na mwisho. Kumamaye ungemkorogea chokaa.