Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Huna shukrani, si kwa mama yako aliyekubeba miezi tisa tumboni mwake na kukuzaa kwa uchungu mwingi, wala Muumba wako aliyekupa neema ya uhai na pumzi ya kuja kuandika ulichokiandika.
Malalamiko yako yote hayana maana. Mungu akuhurumie tu!
Malalamiko haya pia aliyatoa Nabii Ayubu.
Licha ya kuitwa mkamilifu.
Mtu kusema ukweli wa Nafsi yake ndio inatakiwa sio kunyamaza Kwa unafiki kisa unaogopa Mungu