Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Huna shukrani, si kwa mama yako aliyekubeba miezi tisa tumboni mwake na kukuzaa kwa uchungu mwingi, wala Muumba wako aliyekupa neema ya uhai na pumzi ya kuja kuandika ulichokiandika.
Malalamiko yako yote hayana maana. Mungu akuhurumie tu!
Wewe hata maandiko ujui hapo umemkosoa hata huyo mungu wako kama ni mkristo maana anasema...watesema siku hiyo itakuwa heri wanawake tasa na mimba zilizo halibika...sijui unajua nini maana yakeHuna shukrani, si kwa mama yako aliyekubeba miezi tisa tumboni mwake na kukuzaa kwa uchungu mwingi, wala Muumba wako aliyekupa neema ya uhai na pumzi ya kuja kuandika ulichokiandika.
Malalamiko yako yote hayana maana. Mungu akuhurumie tu!
Naona unajifariji tu na mafundisho ya wahuniKumbuka hayo mawazo yako ni huyo Mungu ndiye aliyekupa uhuru na ubongo huo unaotumia kutiririka haya maoni yako, kumbuka wanyama ambao wanao uhai kama wewe kamwe hawawezi kutiririka jinsi wewe ulivyotiririka, je hujiulizi tofauti yako wewe na mnyama ni ipi??, kwanini ushindwe hata kutoa shukrani kwa Mungu kukuumba mtu unayejitanbua??.
Acha kumlaumu mama yako wakati uwezo wa kujiua unao.Mama yangu angenitoa na kunitupilia mbali kipindi bado niko kwenye tumbo lake la uzazi, ingekuwa ni faida kubwa sana kwangu, ningejihesabia mwenye bahati sana, sababu nisingekuwa na haja ya kuja Duniani na kupitia mateso, usaliti, hofu, Karaha za kila namna, magonjwa, e.t.c kisha mwisho wa siku dini zinakwambia ukiteleza kidogo kwenye dhambi unaenda kuchomeka motoni milele baada ya kufa.
Kutokana na maisha na majaribu tunayopitia hapa Duniani, sisi binadamu uwezekano wa kwenda motoni baada ya kifo ni
Tena mkumbushe maneno ya mungu mwenyewe kwenye biblia anasema siku hiyo itakuwa heri tasa na wasionyonyesha na mimba zilizo haribikaMalalamiko haya pia aliyatoa Nabii Ayubu.
Licha ya kuitwa mkamilifu.
Mtu kusema ukweli wa Nafsi yake ndio inatakiwa sio kunyamaza Kwa unafiki kisa unaogopa Mungu
Kwani sumu ya Panya bei gani?Mama yangu angenitoa na kunitupilia mbali kipindi bado niko kwenye tumbo lake la uzazi, ingekuwa ni faida kubwa sana kwangu, ningejihesabia mwenye bahati sana, sababu nisingekuwa na haja ya kuja Duniani na kupitia mateso, usaliti, hofu, Karaha za kila namna, magonjwa, e.t.c kisha mwisho wa siku dini zinakwambia ukiteleza kidogo kwenye dhambi unaenda kuchomeka motoni milele baada ya kufa.
Tatizo dunia ya sasa kuna waislamu na waisiharamu sasa hayo uliyo yasema yana wahusu wapi kati ya hao?Dunia ni sehemu ya majaribio na mitihani iwe ya kheri au shari na mitihani yote tunayopitia ina hekima kubwa zilizojificha.
Kusingekuwa na kifo thamani ya uhai isingetambulika , kusingekuwa na shida thamani ya raha na furaha isingetambulika .Hata Mama mjamzito ana beba ujauzito kwa tabu na kujifungua kwa tabu lakini matukio yote hayo yanaleta faraja kubwa baada ya kukiona na kusikia sauti ya kichanga chake kilicho hai na inafanya amthamini , kumpenda na kumchunga kwa dhati .
Kwa mfano leo mtu uambiwe tunaenda kuzama mechi ya mpira wa miguu lazima atarajie kukuta kuna wachezaji , mpira , magoli , marefa hautoona ajabu lakini sasa ukute hakuna magoli kuna mpira wa basketball [emoji459] na mengine yasiyo husiana hapo utaona kuna hujuma imefanyika na sio haki . Hivyo hivyo kwa Dunia imeumbiwa na shari na shari ni sehemu na Mwenyezi Mungu kasema ametuleta hapa kama kutujaribu wapi watakaofudhu ili wapate waliyoahidiwa yake ingekuwa tupo peponi halafu mtu unakuta mambo ya hovyo kama kuugua mimi hapo mtu una haki kabisa ya kulalamika.
Sisi waislamu mafundisho yetu yanasema mtu akiwa muumini kila jambo kwake heri hata akijichoma na miba na hudhuni yake kidogo anafutiwa madhambi na kuandikiwa mema na siku ya kiama mtu atatamani kuwa angeishi maisha ya dhiki sana na maradhi makubwa hapa duniani baada ya kuona malipo kwa watu waliokuwa na subira wakati wa dhiki , majanga , maradhi yao bila kukufuru hata Manabii wamepatwa mitihani mizito sana rejea kisa cha Nabii Ayyubu (amani iwe juu yake)
Kipi kikuchekeshacho Sofia😂Dah
Wewe hata ukijikaza inaonekana hauko sawa tu. Unahitaji msaada!Wewe hata maandiko ujui hapo umemkosoa hata huyo mungu wako kama ni mkristo maana anasema...watesema siku hiyo itakuwa heri wanawake tasa na mimba zilizo halibika...sijui unajua nini maana yake
Umesoma Ayubu mpaka mwisho? Soma utajua Mungu alipoanza kumuhoji kuhusu malalamiko yake aliuona upumbavu wake akatubu. Kama Ayubu ni mfano basi na huyu anapaswa kutubu!Malalamiko haya pia aliyatoa Nabii Ayubu.
Licha ya kuitwa mkamilifu.
Mtu kusema ukweli wa Nafsi yake ndio inatakiwa sio kunyamaza Kwa unafiki kisa unaogopa Mungu
Nimefurahi tu Sasa moto hatuutaki kwann hatufanyi mema kwaajili ya Pepo ambayo tumeandaliwaKipi kikuchekeshacho Sofia
Hata ukiwa na maisha ya raha namna gani hapa duniani bado hakufai tu..Kuhusu dunia kua ni mbaya au nzuri, inategemea na hali yako. Kuna watu wanatamani kufa wakati wowote waondoke tu hapa duniani. Na kuna watu hawatamani hata kuzeeka, wanatamani waishi milele. Kwaio usiilalamikie dunia, jilalamikie mwenyewe, kama unahitaji ushauri tuambie tutakusaidia