Mama yangu angeni-abort wakati bado niko tumboni mwake, angekuwa amenifanyia wema mkubwa sana

Nimekuelewa ila andiko lako linamuachia dhambi Mama yako, kwa kuwa nchi nyingi duniani abortion ni crime. Basi hebu pale ulipoandika "Mama yangu ange abort" badili iwe "baba yangu ange vaa condom, au angemwaga nje"

Nadhani inapunguza kidogo comments kali toka kwa wachangiaji
 
mleta mada nakuomba usome kitabu kinaitwa HOW TO DISCOVER AND MASTER THE POWER WITHIN YOU kimeandikwa na DON MIGUEL LUIZ...kitakusaidia sana kwa wakati huu unaopitia
 
Kwahiyo unapingana na maandiko yanayosema kweli itakuweka huru?[emoji40][emoji40] wewe utakuwa ni mmoja wapo wa wahuni wa kilokole wanao sema mungu wao ana nafsi tatu.
 

Una roho ya mauti inakuandama na haitakuacha Salama usipotubu
 
Washtaki...

Mungu na mama yako..

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kuna nyuzi kule intelijensia pia imeuliza haya maswali
 
Huna shukrani, si kwa mama yako aliyekubeba miezi tisa tumboni mwake na kukuzaa kwa uchungu mwingi, wala Muumba wako aliyekupa neema ya uhai na pumzi ya kuja kuandika ulichokiandika.

Malalamiko yako yote hayana maana. Mungu akuhurumie tu!
Mkuu ungejikita kujibu hata hoja moja tu katika hizo badala ya kumbagaza mwandishi
 
Mkuu nimepitia nyuzi zako zote unaongelea wanawake tu una tatizo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…