Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Saa moja milioni 5 [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kweli. Embu ingia mwenyewe www.qnet.net kajionee zipo za kila aina ya bei na si saa tu.
By da way yawezekna unaona ni ghali mno sio lazima ununue saa hiyo. Shida ya nini kama unataka saa tu zipo ubungo za elfu 5 na unadamshi.
Kila mununuzi anasababu zake z kununua kitu fulani.
Thanks.
 
Mkuu umeingia kwenye link.
Si unapenda kuuliza wengine.. nipo mimi Next friday utaelewa mengi sana usijali.
Kuna funzo kubwa sana juu ya ASILI ya BINADAMUna athari zake katika maendeleo. Utajiona humo.
Thanks.
Okay.
Nangojea hiyo ijumaa ifike ili nisome hicho ulichokipanga kukiandika kama kitakuwa na jambo jipya au lenye mantiki.

Lakini kwa kifupi tu unapaswa utambue na kukumbuka mambo haya.
-Member wengi wa JF wanaifahamu Qnet kwa upana mkubwa sana. Hivyo ni ngumu sana kuwalaghai kwa maneno rahisi.

-Watu wengi waliojiunga Qnet na kulizwa huwa wanakuja humu JF kusimulia mchakato mzima wa kulizwa kwao.

-Maelezo yako katika bandiko lako hapa yameizamisha zaidi Qnet kuliko kuisaidia.
 
Jf mimi sio mgeni. Nimesoma mengi sana yawezekana hunijui vyema na sipo hapa kupotosha mtu. Embu pata muda ujue ushiriki wangu humu.
Embu niambie nini nimekupotosha mkuu?
Lete reference zenye mashiko
Usiishi kwa kusikia jifunze kuwa mdadisi na mpembuzi wa mambo.
Sipo hapa kuinua kiti wala kuzamisha kitu nimekuja kuelewesha watu kile nachoamini ni sahihi.
Unadhani nipo kuiinua Qnet. Lahasha hii kampuni haihitaji msaada wangu na sipo hapa kwa ajili yao. Qnet kama company inacostomer baze kila kona duniani sisi wna JF ni nani kwao?
Next friday nitazungumzia sana ujasiriamali na Qnet You are welcome.
 
Ni vijana wenzetu wanaotafuta muwaunge mkono kuongeza wingi wa sarafu nchini. mi binafsi huwa wakijaga hawa wafanyabiashara nawasikiliza hadi mwisho na kuwapa moyo wasikate tamaa.
Sasa mwengine anatàka aforce wewe ndio uwe mteja wake hapo ndipo tunapoßhindwana.
AIM wAmenifauta na kuniita zaidi ya mara moja .niliwaambia nataka niwe mteja wa kununua tu bei nikaona ipo juu basi nikawaambia nataka niwe memba ili niwe nanunua kwa bei nafuu nikaambia kianzio ni laki tano(500,000) basi kwa kuwa sina majibu ya jeuri niliwambia natafuta.

Si kaja dada mwengine ananionyesha statement yake ya bànk kwàmba inalipa yaani nakuwa sifànyi kazi lakini nalipwa.stat3ment kuiangalia ni miezi minne total amount ni chini ya mishahara yangu mitatu.na hapo sijui ni yake au ni mchezo wa kuingiza halafu mnatoa kwa kumpa mwengine ili zionekane pesa źimeingia tu.
Sasa huyu bint nilimuambia sina laki tano ya kuwa memba alinijibu kama unakosa laki tano ambayo haina ķazi kwenye saving zako basi KAZI YAKO HAINA MAANA. nikasema kimoyo moyo huyu nimtongoze tu yaishe.nilivyomtongoza si ñatafutwa mimi kila dk .
Waungeni mkono pesa źipate kuzunguka ña uchumi upate stimulant lakini pima mwenyewe kama zinalipa.
 
AliExpress , eBay ndio kabisa na nimeacha kutumia.
Mkuu mimi nimenunua huko zaidi ya mara 5 na sijawahi kuibiwa hata mara moja. Ww bahati yako mbaya au haupo makini kuwatafuta wauzaji wazuri wenye ratings na review nzuri. Nimenunua amazon, ebay na AliExpress.
 
Mimi nanunua bidhaa nyingi kwa ajili ya biashara unanunua mfano ktk mwezi product 50, zinakufikia 30. Tena kwa maseller walewale nimeachana nao. Bora AliExpress na Amazon
Pole mkuu. Hiyo nayo umeniongezea mpya. Nitakuwa makini zaidi
 
Pamoja na mtoa mada kuwa na uwezo mkubwa wa kujibu maswali na kuwa na utulivu wa hali ya juu bado paka muda huu akuna ata mmoja anayemuunga mkono
Ameharibu alivoingiza element ya style fulani ya network marketing. Watu wengi wamejeruhiwa na Foreverliving, rifaroafrika n.k. Asingeweka hako kakipengele labda angeeleweka. Angejaribu kuelezea kwa mtizamo wa mnunuzi baadala ya kugusia pande zote za seller and buyer na kuchanganya humohumo idea za recruitment kama network marketing. Kifupi kwa maoni yangu, kwenye uzi huu hataeleweka!
 
Mkuu mimi nimenunua huko zaidi ya mara 5 na sijawahi kuibiwa hata mara moja. Ww bahati yako mbaya au haupo makini kuwatafuta wauzaji wazuri wenye ratings na review nzuri. Nimenunua amazon, ebay na AliExpress.
Hongera mkuu kwa kuthubutu maana wengine waoga, Mimi ni mnunuaji mzuri wa hizo site napenda kusema AliExpress na Amazon ni Bora zaidi ya eBay kwa Sasa kwa sababu na experience ya kutosha .kila siku lazima nifanye manunuzi naagiza bidhaa huku zikifika nauza na hata nikipigwa siachi nachukulia ni changamoto tu kwa sababu faida ipo. Ila sio uamini 100 percent .
 
Ameharibu alivoingiza element ya style fulani ya network marketing. Watu wengi wamejeruhiwa na Foreverliving, rifaroafrika n.k. Asingeweka hako kakipengele labda angeeleweka. Angejaribu kuelezea kwa mtizamo wa mnunuzi baadala ya kugusia pande zote za seller and buyer na kuchanganya humohumo idea za recruitment kama network marketing. Kifupi kwa maoni yangu, kwenye uzi huu hataeleweka!
Hapana kiukweli ukisoma vyema Uzi wangu sijagusia kabisa hizo habari za Network marketing kabisa. Nimelenga hoja moja tu QNET ni ECOMMERCE basi. Wadau ndo wanakuja na reply zenye hizo hoja na nimekuwa nikijitahidi kuwarudisha kwenye mada..
by the way Ijumaa nitaichimba zaidi hiyo angle ambayo wengi wamekuwa wakiizungumzia.
Na si kweli kuwa watu hawaelewi.. wapo wnaoelewa na wanafanyia kazi hizi taarifa.
Next Friday lets meet again here.
 
Nadhani hufaham maana ya E-commerce...sijawah kuona Ebay au Amazon wakicharge gharama za kujiunga ili ununue product zao
Nikirejea kauli ya mtoa mada amezungumzia E-commerce pekee, huku akijaribu kutolea mifano ya jinsi hiyo e-commerce inavyofanya kazi basi. Na sio ishu za kujiunga kupitia hizo products ambazo hupatikana kwenye duka lililopo katika website yao.
 
Haha nimeona hoja moja au mbili inayohusu mada iliyopo.
1.Unavyozungumzia kushauri Qnet waweke bidhaa za kitanzania nadhani wanamawasiliano yao kwenye wbsite yao ya www.qnet.net ambapo umaweza wasiliana n kampuni na ukatoa huo ushauri. Si vibaya wanaweza wakauchukua n uufanyia kazi.
2. Kuhusu holiday package nilivyoiangalia mimi ndani ya website ya www.tripsavr. com naona inaruhusu kufanya booking hata huko uliko zungumzia. Embu ingia na wewe ujionee.
Hoja yako kuhusu kuweka bank statement na kuhusu kukopeshwa sielewi umelnga eneo lipi kwa mujibu wa mada. But may be kuna mambo ya kujadili kuhusu misingi ya ujengaji ubia kati ya wajasiriamali, embu uwe na subira next friday naweza kuja na andiko litakalo kupa mwanga juu ya hii dhana.
Thanks
Nimeingia kwenye link ya tovuti ya qnet ila haionyeshi kuwa ni e-commerce kama aliexpress, ebay, amazon nk.

Nitaeleza experience niliyopata labda utanielekeza zaidi jinsi gani ya kununua bidhaa pasipo kuhitaji "IR ID No. of my referrer" kitu ambacho sikuwahi kukutana nacho aliexpress(nanuuaga sana bidhaa huku).

Kama ulivyosema, niliangia kwenye link ya tovuti uliyotoa na kweli nilikuta bidhaa na huduma mbalimbali.

Hii picha inaonyesha baadhi.ya bidhaa nilizoziona.
5-products.PNG

Sasa hapo nilichotaka kununua ni hiyo saa (sijui shilingi ngapi).

Nilivyoclick ilikuja kurasa inayoelezea kuhusu hiyo saa inaitwa bernhard h mayer, nikabonyeza kitufe cha buy now upande wa juu kulia, kama picha inavyooenyesha.
2.PNG

badala ya kubonyeza ikaniletea linki ya ku-log in bila kunipa option ya kujisajili kwa kuwa sina account.
3.PNG

Hapa ilinilazimu nitafute wapi pa kuipata hiyo inaitwa "IR ID No" ndipo niliporudi kwenye home page kwa juu nikaona sehemu imeandikwa "enroll now".

Hapa ndipo nilipoona kuwa hii sio "e-commerce" ninayoielewa mimi mifano ya aliexpress, kwani badala ya kuclick nakeletewa sehemu ya kujisajili ambayo pia pana utata, cheki hii picha inayoonyesha mahitaji ya kujisajili q-net ili ununue bidhaa.
qnet refferal registration.PNG

Kama picha, inavyoonyesha. nilihitajika kuweka id ya mtu alienialika ili ninunue hiyo saa kitu ambacho hakipo alibaba, aliexpress, ebay na e-commerce zingine za kawaida.

Tuachane na hilo inawezekana muundo wa biashara wenu upo tofauti, naipataje hiyo IR ID No of my referrer ili nikamilishe usajili na kununua hiyo saa?
 
Nadhani hufaham maana ya E-commerce...sijawah kuona Ebay au Amazon wakicharge gharama za kujiunga ili ununue product zao
Kama unanikosoa juu ya uelewa wangu juu ya e commerce naomba ukosoe kutokana na mada husika ya leo ndugu yangu.
Embu ainisha maeneo yenye kasoro kwenye maelezo yangu.
Lakini hilo la kuhusu ebay kutocharge gharama za kujiunga ndo iwe sababu ya kusema kuwa Qnet sio E commerce sio hoja ya msingi.
By da way unachotamani kizungumziwe kitagusiwa next week.
 
Nimeingia kwenye link ya tovuti ya qnet ila haionyeshi kuwa ni e-commerce kama aliexpress, ebay, amazon nk.

Nitaeleza experience niliyopata labda utanielekeza zaidi jinsi gani ya kununua bidhaa pasipo kuhitaji "IR ID No. of my referrer" kitu ambacho sikuwahi kukutana nacho aliexpress(nanuuaga sana bidhaa huku).

Kama ulivyosema, niliangia kwenye link ya tovuti uliyotoa na kweli nilikuta bidhaa na huduma mbalimbali.

Hii picha inaonyesha baadhi.ya bidhaa nilizoziona.
View attachment 1259791

Sasa hapo nilichotaka kununua ni hiyo saa (sijui shilingi ngapi).

Nilivyoclick ilikuja kurasa inayoelezea kuhusu hiyo saa inaitwa bernhard h mayer, nikabonyeza kitufe cha buy now upande wa juu kulia, kama picha inavyooenyesha.
View attachment 1259808

badala ya kubonyeza ikaniletea linki ya ku-log in bila kunipa option ya kujisajili kwa kuwa sina account.
View attachment 1259809
Hapa ilinilazimu nitafute wapi pa kuipata hiyo inaitwa "IR ID No" ndipo niliporudi kwenye home page kwa juu nikaona sehemu imeandikwa "enroll now".

Hapa ndipo nilipoona kuwa hii sio "e-commerce" ninayoielewa mimi mifano ya aliexpress, kwani badala ya kuclick nakeletewa sehemu ya kujisajili ambayo pia pana utata, cheki hii picha inayoonyesha mahitaji ya kujisajili q-net ili ununue bidhaa.
View attachment 1259850
Kama picha, inavyoonyesha. nilihitajika kuweka id ya mtu alienialika ili ninunue hiyo saa kitu ambacho hakipo alibaba, aliexpress, ebay na e-commerce zingine za kawaida.

Tuachane na hilo inawezekana muundo wa biashara wenu upo tofauti, naipataje hiyo IR ID No of my referrer ili nikamilishe usajili na kununua hiyo saa?
Yeeeessss..
This is what I want.
Hongera sana mdau.
Now ingia www.qnet.net
Then nenda direct to shop
Then soma maelezo vyema then proceed
Then utatakiwa kuweka Referer number skip hiyo option kwa kuclick mahali chini yake 'I dont have referer'
Utajikuta dukani na
then nunua product utakayo.
Uje hapa na majibu.
Safi sna. Nadhani sasa tunaenda sawa. Napenda watu kama ninyi.
Big up bro
Uje na majibu.
 
Hii ndo italeta mwanga kwa wote waliokua hawaelewi.
QNET is E COMMERCE.
 
Nimeingia kwenye link ya tovuti ya qnet ila haionyeshi kuwa ni e-commerce kama aliexpress, ebay, amazon nk.

Nitaeleza experience niliyopata labda utanielekeza zaidi jinsi gani ya kununua bidhaa pasipo kuhitaji "IR ID No. of my referrer" kitu ambacho sikuwahi kukutana nacho aliexpress(nanuuaga sana bidhaa huku).

Kama ulivyosema, niliangia kwenye link ya tovuti uliyotoa na kweli nilikuta bidhaa na huduma mbalimbali.

Hii picha inaonyesha baadhi.ya bidhaa nilizoziona.
View attachment 1259791

Sasa hapo nilichotaka kununua ni hiyo saa (sijui shilingi ngapi).

Nilivyoclick ilikuja kurasa inayoelezea kuhusu hiyo saa inaitwa bernhard h mayer, nikabonyeza kitufe cha buy now upande wa juu kulia, kama picha inavyooenyesha.
View attachment 1259808

badala ya kubonyeza ikaniletea linki ya ku-log in bila kunipa option ya kujisajili kwa kuwa sina account.
View attachment 1259809
Hapa ilinilazimu nitafute wapi pa kuipata hiyo inaitwa "IR ID No" ndipo niliporudi kwenye home page kwa juu nikaona sehemu imeandikwa "enroll now".

Hapa ndipo nilipoona kuwa hii sio "e-commerce" ninayoielewa mimi mifano ya aliexpress, kwani badala ya kuclick nakeletewa sehemu ya kujisajili ambayo pia pana utata, cheki hii picha inayoonyesha mahitaji ya kujisajili q-net ili ununue bidhaa.
View attachment 1259850
Kama picha, inavyoonyesha. nilihitajika kuweka id ya mtu alienialika ili ninunue hiyo saa kitu ambacho hakipo alibaba, aliexpress, ebay na e-commerce zingine za kawaida.

Tuachane na hilo inawezekana muundo wa biashara wenu upo tofauti, naipataje hiyo IR ID No of my referrer ili nikamilishe usajili na kununua hiyo saa?
Alafu isipende kurukia kutoa tu suluhu wakati hujajipa muda wa kufuatilia vyema.
Website imeshiba hiyo ina vitu vingi mno hapo. Tulia usitumie mihemko
Kama hujui 'Log In' na kwa walio ndani ya huo mfumo. 'Inroll' ni kwa anayetaka kujisajiri.. wewe nia yako kwenda dukani sasa humo unaingia kufanya nini.. nenda dukani.. 'shop' alafu ukikuta mahari pakujaza taarifa yoyote haimaanishi kuwa ni kujiunga mzee.. hahha tuliza kichwa..
Njoo na majibu.
Tunasubiri.
 
Wacha tu watu wapate mwanga mdogo mdogo tutaelewana....Q-Net ni fraud bro kama ushanasa usitake ingiza wengine na kwa Tanzania its about time bank kuu inawatolea macho tu......Unafananisha E-commerce na vitu vya kijinga.
kua na website unayoweka bidhaa chache haikutoi kwe dhana nzima ya pyramid scheme ambacho ndo tunatakiwa jadili hapa....swala la e commerce no need kumwingiza mtu mpya kwe ritual zenu kama illuminati ..ushasikia mtu anapiga kelele kuhusu jumia au alipay au other online platforms msituone wehu.....mlitaka mpiga mshkaji nje nje million 5 na siku hizi tutawaroga tu..pumbafu

FYOKO FYOKO sijui qnet ni ecommerce wakati qnet.net ywnyewe inaackowledge kua qnet ni direct sellibusinessess usituone miaukule humu 10 Terrifying Real-Life Fears Of Direct Sellers And How To Overcome Them - QBuzz | The Voice of QNET

The Bombay High Court while rejecting anticipatory bail applications of five accused in the multi-crore QNet scam, has observed that "the deceit and fraud is camouflaged under the name of e-marketing and business". This scheme is undoubtedly a multi-level marketing (MLM) activity and a pyramid structure of such scheme is prepared so that the members are promised to get money on purchase and sale of products, the Court said.

In a hard-hitting order on 6 May 2016, Justice Mridula Bhatkar said, "The motto of the company 'sell more, earn more' appears very attractive and innocuous. However, this motto is fully camouflaged. The company stands on a basic statement that people can be fooled. Thus, the true motto is 'sell more earn more' by fooling people. In fact it is a chain where a person is fooled and then he is trained to fool others to earn money. For that purpose, workshops are conducted where study and business material is provided with a jugglery of words, promises and dreams. Thus, the deceit and fraud is camouflaged under the name of e-marketing and business."

"It has very grave and serious impact on the economic status and mental health of the people on a large scale. On considering parameters of section 438 of the Code of Criminal Procedure, I am not inclined to protect the accused. It won't be out of place to mention that such circulation is required to be stopped. It is necessary for the prosecution to take injunctive steps against this business activity, which is prima facie, illegal. Though by stopping this business, a large group of people may get financially affected, however, it will save larger groups of people from becoming prey of this activity," the Bombay HC said.

The HC rejected bail applications of five including, Srinivas Rao Vanka and Magaral Veervalli Balaji, both directors of Vihaan Direct selling (India) Pvt Ltd, Suresh Thimiri, director of Transview Enterprises India Pvt Ltd, Malcolm Nozer Desai, who is a 20% stakeholder in Vihaan and Michael Joseph Ferreira, former world champion of billiards and an 80% stakeholder in Vihaan.

"I have gone through the plan which is given by QNet to every individual representative (IR)," Justice Bhatkar said. "I have gone through the statements of many witnesses, who claimed that they have been cheated under the scheme launched by QNet. I have also considered the conclusive report of Serious Fraud Investigation Agency (SFIO) under the Company Act) SFIO Prima facie, there is material to hold that the business conducted by Qnet is covered under PCMC Act and also under Drugs and Magic Remedies (Objectionable Advertisements) Act, 1954."

"However," the Bench added, "the things are not as straight as they are perceived on the surface. Assuming that the scheme was launched with a noble object to give benefit to maximum people to make money quickly and easily by selling products of the company, however, after going through the material placed before me including the statements of the witnesses, I am of the view that in the midway, the intention of the applicants/ accused, who are the directors and shareholders of the company, became dubious. They had knowledge that more members are suffering financial losses and they are not satisfied with the products. The claim that the wellness products i.e., Biodisk and Chi Pendent are medicinal and spiritual products, are after all, a matter of faith. However, the applicants/ accused have launched these wellness products with ulterior motive and with correct judgment of vulnerability of the people. The holiday packages, which were sold or offered, without any choice left to the buyers. The entire business was Internet based and, therefore, the persons who are responsible i.e., the top brass i.e., the applicants/ accused, were not approachable to the persons who were aggrieved. The nature of the business was knitted in the interest of the Directors and shareholders in such a manner that the persons who are at the lower level of the pyramid cannot get any access to put up their grievances. The manner in which the persons were contacted, incentives offered, the workshops were conducted, are best examples of inducement."

Earlier, Pradeep Gharat, special Public Prosecutor submitted before the Bench that Vanmala Hotels, Travels and Tourism Services Private Ltd and Pallava Resorts Private Limited have created a Website and travel packages. "The commission was not paid on the products though the new members were introduced. The registered office of Vanmala Hotels, Travels and Tourism Services Pvt Ltd company is a call center," he said.

He further submitted that in December 2014 the Ministry of Corporate Affairs sealed their office at Chennai and declared Gold Quest International Pvt Ltd and QuestNet Enterprise (P) Ltd as the fraud companies. "Thus, money is collected online and though the Independent Representative number is given, actual money was not available for withdrawal. Said money was laundered outside India. The police in the investigation have come across 73 bank accounts of Q Net Ltd and total laundering of is around Rs135 crore," Adv Gharat had said.

Earlier in February 2016, the special Maharashtra Protection of Interest of Depositors (MPID) Court had also rejected anticipatory bail applications of these five. The Economic Offences Wing (EOW) of Mumbai Police, which is probing the case, had invoked the stringent MPID Act against controversial multi-level marketing (MLM) company QNet, which has denied any wrongdoing on its part.
 
Back
Top Bottom