Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Jina lako tu linaonyesha huna akili.
 
Wanasema bidhaa inaanza na ujazo wa 3BV, 5BV, 10BV n.k...
Bidhaa zenyewe ni kama hizo ulizosema! Saa, vipodozi, vifaa vya majumbani n.k... Halafu eti utapata kutokana na watu utakaowaleta nao wajiunge kwenye hiyo QNET Yao! Eti wakaniambia kuna Jamaa alikuja juzi Tu Ila sasa hivi ameshanunua gari halina hata wiki.
 
Aise lingekukuta jambo, pole sana
 
Mleta mada hajui kuwa shule ina mchango mkubwa sana kwenye upande wa uandishi ila yeye sijuhi sisi ANATUONAJE ? Labda sisi machizi ?

Umekosa umeaminifu na hiyo ni hatari

Thanks
 
Sijasema mwandiko! Nimesema ni namna gani,unapangilia mtiririko wa story,kipi kianze,kipi kiwe cha mwisho! Waliosema ili ufanye kazi flani unapaswa uwe na Elimu flani,sio wajinga
Sasa Nani kakwambia darasa la 7 yeye hawezi au hapaswi kujua kupangilia uandishi? Acha kukariri mkuu
 
Sijasema mwandiko! Nimesema ni namna gani,unapangilia mtiririko wa story,kipi kianze,kipi kiwe cha mwisho! Waliosema ili ufanye kazi flani unapaswa uwe na Elimu flani,sio wajinga
So kuna guarantee kwamba watu wa elimu Fulani ndo wanapaswa au ndio wanaweza Tu kuandika na kupangilia vizuri uandishi?
 
Mleta mada hajui kuwa shule ina mchango mkubwa sana kwenye upande wa uandishi ila yeye sijuhi sisi ANATUONAJE ? Labda sisi machizi ?

Umekosa umeaminifu na hiyo ni hatari

Thanks
Msaada hauhusiani na elimu wala kitu kingine chochote! Msaada ni ule ushirikiano anaoamua kujitoa mtu Kwa mtu Kwa kitu ambacho Hana au kuwa na uwezo Nacho. So nashangaa maswala ya elimu yanakujaje tena hapa
 
Sawa jitahidi kuomba msaada na FAKE ID
 
Hawa jamaa ni wanakua na busara sana
Forever
Alliance
 
Utaliwa kiboga mjomba kua makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…