Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Hiyo nyumba ipo sehemu gani? Kwa hiyo humo ndani kuna vijana kama 40 hivi? Kuanzia getini?
 
Nitapoteza muda na gharama pia, halafu hawakunikaba maeneo ya office zao. Utapeli wao nitawachoma wanajipatia fedha za upatu na money laundering [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Huu uandishi na technical knowledge yako ya kuandika in a chronological sequence inanipa mashaka saana na darasa lako la Saba.

Je ni kweli la Saba ya manuva tu?
 
Hiyo nyumba ipo sehemu gani? Kwa hiyo humo ndani kuna vijana kama 40 hivi? Kuanzia getini?
Yes mkuu, wanaweza kufika 40 tena ni wadogo inawezekana wengi ni Wanachuo. Huyo nyumba ipo mtaa ule ule karibu na Ile Sheli ya Meru unaingia upande wa kushoto kama unaelekea Goba kuna kimto kinatiririsha maji unavuka hiyo nyumba ipo hapo
 
Huu uandishi na technical knowledge yako ya kuandika in a chronological sequence inanipa mashaka saana na darasa lako la Saba.

Je ni kweli la Saba ya manuva tu?
Tatizo mnakariri elimu ya darasani kuliko vipaji binafsi
 
Mshkaji anatuchora hamn la Saba hapo angalia hata logic yake kujibu maswali na uelewa wa vitu. Br degree imekutupa mkono unatafuta kazi za la 7 pole yametukuta wengi hhh(just joking)
 
Iki kitu ulicho andika ni really kabisa na Mimi ilinitokea the same like you na rafik angu nimesoma nae shule moja advance alinitangulia darasa moja

Baada ya kumaliza shule nikawa Sina issue jamaa akanambia ana mishe anatak anipe niende mbezi kuiona nikafunga safar kutoka external Hadi mbezi nafika mbez namtafuta simu ikawa aipokelew baad ya muda akanicheck ananambia samahan nlkua kweny kikao offisin nikasem yes kaz si ii bhna nitaend first year nikiw nipo full

Sasa nikamwambia aje kunifata nimefika mbezi na shangaa jamaa ananambia sasa inabid upande magar ya kuja makabe kituo nilichoshuka nishakisahau jina

Nilipofika uko jamaa akanifata akiw kavaa smart ad nikataman nkajua itakua anafundish private school tukatembea kufika mbele tukaingia kwny nyumba kubwa yeny gate nikaambiw nisubil nje yote nitayajua nikifik ndani jamaa alikataa kabisa kunielezea kinachoendelea

Uku nje wanapita vijan na mabint wamevaa smart kule ndan nilkua nasikia saut wanasalimian good morning wanaitikia kwa pamoj good morning nikahisi kabis ni mamb ya ufreemason baad ya mda nikaingia ndani wakaanz kujitambulish wakinipongez rafik angu ananipend amenilet kwny kitu cheny ela

Basi tukaingia kwny chumb kama apo mshikaj alivyoelezea wakaanz mamb yao nilipogundua ni Qnet nkapat amani

Kwakufupish baada ya kuondok mshikaj alinambia nilud tena siku yoyot ya wiki inayofuata ili nijiunge rasmi sikulud tena jamaa alinitfut kwny simu Hadi akachoka

Awa watu wanazngua sana Wana mamb ya kishamba
 
Dah, pole sana kijana
 
Mshkaji anatuchora hamn la Saba hapo angalia hata logic yake kujibu maswali na uelewa wa vitu. Br degree imekutupa mkono unatafuta kazi za la 7 pole yametukuta wengi hhh(just joking)
Sawa!

Ila mkuu, tofautisha ubongo na akili/uelewa. Kila mtu ana ubongo Ila sio kila mtu ana akili/uelewa sawa.

Ubongo ni kama memory card! Memory card ni kifaa ambacho unapokea na kuhifadhi vitu kama picha, nyimbo, videos n.k...

Pale memory card unaponunua inakuwa haina kitu kabisa! Sasa tuchukulie wewe na rafiki yako mmenunua memory cards zenye ukubwa sawa let's say, 32GB mkaanza kuingiza vitu! Baadae mtu anaweza kuja kukagua hizo memory akakuta vitu vipo tofauti kabisa japo zina ujazo/ukubwa sawa! Mfano, ya kwako ina nyimbo nzuri labda za gospel na ya rafiki yako ikawa na video chafu za ngono n.k... Hivi hapo utasema memory ya rafiki yako ni mbaya au?
Bila Shaka, hapo utagundua kuwa ubora wa kitu au mtu hutokana na vile vitu anavyovijaza na kuvipokea kuviingiza kwenye memory card yake! Kwa hiyo, akili au uelewa wa mtu nao hutokana na vile vitu anavyovipokea na kuilisha akili yake.

Mkuu, hujui background yangu, mm ni mtu wa Aina gani, napenda nini n.k...

Hivyo Tu mkuu 🙏🙏
 
Iki kitu ulicho andika ni really kabisa na Mimi ilinitokea the same like you na rafik angu nimesoma nae shule moja advance alinitangulia darasa moja

Baada ya kumaliza shule nikawa Sina issue jamaa akanambia ana mishe anatak anipe niende mbezi kuiona nikafunga safar kutoka external Hadi mbezi nafika mbez namtafuta simu ikawa aipokelew baad ya muda akanicheck ananambia samahan nlkua kweny kikao offisin nikasem yes kaz si ii bhna nitaend first year nikiw nipo full

Sasa nikamwambia aje kunifata nimefika mbezi na shangaa jamaa ananambia sasa inabid upande magar ya kuja makabe kituo nilichoshuka nishakisahau jina

Nilipofika uko jamaa akanifata akiw kavaa smart ad nikataman nkajua itakua anafundish private school tukatembea kufika mbele tukaingia kwny nyumba kubwa yeny gate nikaambiw nisubil nje yote nitayajua nikifik ndani jamaa alikataa kabisa kunielezea kinachoendelea

Uku nje wanapita vijan na mabint wamevaa smart kule ndan nilkua nasikia saut wanasalimian good morning wanaitikia kwa pamoj good morning nikahisi kabis ni mamb ya ufreemason baad ya mda nikaingia ndani wakaanz kujitambulish wakinipongez rafik angu ananipend amenilet kwny kitu cheny ela

Basi tukaingia kwny chumb kama apo mshikaj alivyoelezea wakaanz mamb yao nilipogundua ni Qnet nkapat amani

Kwakufupish baada ya kuondok mshikaj alinambia nilud tena siku yoyot ya wiki inayofuata ili nijiunge rasmi sikulud tena jamaa alinitfut kwny simu Hadi akachoka

Awa watu wanazngua sana Wana mamb ya kishamba
Yaan Wana mambo ya kishamba Sana hasa Yale maneno meengi
 
Hawakutaka hela yoyote?
Ela wanatak wanasem mamb ya point sijui unanunua bidhaa yenye ujazo wa volume kadhaa nishasahau ni ngap ila bidhaa zenyew ni kama saa,dawa,vipodoz au unalipia course yakusom online alaf baada ya apo unawaalika watu wawili wengn nao wataalika so as chain goes ndo na ww unavyopata ela
 
Back
Top Bottom