Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Hao ni sawa sawa na wale wa "Ile hela itume kwenye namba hii 2567 5789+ jina litakuja Jiwe
 
Kuna jamaa aliniita akinambia ndugu kuna ajira safi uku we njoo wakati mefika ndo ikawa darasa kwanza leo nimeenda kwa mara ya kwanza lakn maelezo yao nimebak na alama ??? Nying sana maana wanakuandaa b4 uongee na mtu

Mfano unaambiwa kuna mtu anakuja kukuelezea lakin usimuingilie katikati ya mazungumzo subir amalize ndo uulize swali
tuambie kwanza nini kimetokea ili tukuandae kisaikolojia.
 
Kuna jamaa aliniita akinambia ndugu kuna ajira safi uku we njoo wakati mefika ndo ikawa darasa kwanza leo nimeenda kwa mara ya kwanza lakn maelezo yao nimebak na alama ??? Nying sana maana wanakuandaa b4 uongee na mtu

Mfano unaambiwa kuna mtu anakuja kukuelezea lakin usimuingilie katikati ya mazungumzo subir amalize ndo uulize swali
wewe endelea kwenda ila mwisho wa siku waambie hauna hata sh. 100 kama wanazo wao wakukopeshe alafu wafanyie hicho wanachokihubiri faida ikipatikana utawarudishia mtaji wao na wewe utabaki na faida.
 
njoo na marafiki zako wawili nao walete marafiki zo wawili baada ya apo utaanza kuvuna mamilioni kwa mwezi,😀😃, kabla hujawaleta ao marafiki zako ntakusajili qnet then ujaribu kununua bidhaa online.
 
wewe endelea kwenda ila mwisho wa siku waambie hauna hata sh. 100 kama wanazo wao wakukopeshe alafu wafanyie hicho wanachokiubiri faida ikipatikana utawarudishia mtaji wao na wewe utabaki na faida.
Ila ajitahidi kuwala hata wadada watatu hivi maana wanakua desperate hadi wanalazimisha ahadi ya ndoa ukiingia
 
Back
Top Bottom