Uchaguzi 2020 Mambo 5 niliyoyabaini uzinduzi wa kampeni kanda ya Nyasa CHADEMA

5 September 2020
Mbeya , Tanzania

Tundu Lissu : Serikali ya CHADEMA itaweka mazingira ya Uchumi wa saa 24 katika miji yote mikubwa


Hayo yamebainishwa katika mkutano mkubwa wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu ambapo CHADEMA inawania kupata ridhaa ya wananchi kukubali kuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atoke CHADEMA na pia wabunge wengi na madiwani ili kuongoza majimbo na Halmashauri pamoja na kata ili kuleta Maendeleo ya Watu katika ngazi zote.
 

Lengo la mleta mada ni kum isolate Lissu.

Hatudanganyiki!

Alisema JK "ni heri slaa awe rais kuliko Lissu mbunge."

Sasa kuna ka mutation "ni heri yeyote lakini si Lissu!"

Si wema hawa. Huyu, samia, jiwe na ndugu zao lb7 ni wale wale.

Hawa ndiyo wenye kukaanga mbuyu na kuwaachia wenye meno watafune.
 

Jaribu kumuuliza aeleze zaidi kwa nini ni Mwalimu na sio Lissu ili tufaidike muono wake.
 
Hiyo combination baba haikuja kwa baahati mbaya it was well calculated.

Hiyo ni compound siyo mixture
 
Lissu ndio chanzo cha Yote. Walianza kwa Nyalandu wakashindwa, wakaja na Membe wakafeli. Wamehamia kwa Hashimu Rungwe Spunda mzee wa ubweche.
 
Magufuli na wenzake walituambia kwenye vikao vyetu vya chama cha ccm kwamba upinzani umekufa nchini, sasa hiki ni nini ?

Kuna mtu anakera sana
 
Kitakachokuokoa kukoswa koswa na matusi kutoka BAVICHA ni vile umempaisha SUGU.
 
Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
Ni wafuasi wa CHADEMA tu ambao hawajajiandikisha! Maana LISSU AKIJAZA mnasema sio waliga kura! Je Ni wapiga nn?
 
Mb
Mbona una chuki na lissu
 
Huyu ndundami Magufuli asiende Tu mbeya aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…