Uchaguzi 2020 Mambo 5 niliyoyabaini uzinduzi wa kampeni kanda ya Nyasa CHADEMA

Wapiga kura wengi
1.kadi wamepoteza
2.wamesahau zilipo
3.walizitelekeza baada ya kupata za nida
4.wapo waliokata tamaa hawana mood ya kupiga kura.
5.Natumaini kampen zitawafufua waliopoteza na kusahau zilipo wazitafute,waliokata tamaa matumain yarudi

Atleast Leo umeandika comment kuntu khaa🙌
 
Wapiga kura wengi
1.kadi wamepoteza
2.wamesahau zilipo
3.walizitelekeza baada ya kupata za nida
4.wapo waliokata tamaa hawana mood ya kupiga kura.
5.Natumaini kampen zitawafufua waliopoteza na kusahau zilipo wazitafute,waliokata tamaa matumain yarudi

Tume inasema kuna wapiga kura 29m+, hiyo ni nusu ya watanzania wote. Sasa hii hoja yako tuiweke wapi?
 
Time yilonga. Tusonge mbele
 
Mkuu hoja ya kwanza hadi ya nne,tume haina taarifa nazo. Unaweza ukapoteza kadi na tume isijue. Siku ya kupiga kura huwezi kukubaliwa bila hicho kitambulisho labda wabadili utaratibu dakika za mwisho kutumia vitambulisho vya nida,kazi etc
Tume inasema kuna wapiga kura 29m+, hiyo ni nusu ya watanzania wote. Sasa hii hoja yako tuiweke wapi?
 
Vipi mbona haukusema hii ni picha ya 2015 ya Lowassa?
 
Kwa nilichokiona leo, bi betina apewe ulinzi maana anaweza jining'iniza darini
 
Mkuu hoja ya kwanza hadi ya nne,tume haina taarifa nazo. Unaweza ukapoteza kadi na tume isijue. Siku ya kupiga kura huwezi kukubaliwa bila hicho kitambulisho labda wabadili utaratibu dakika za mwisho kutumia vitambulisho vya nida,kazi etc

Kwa hiyo wapiga kura wa upinzani tu, ndio wamepoteza vitambulisho?
 
Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.

Leo habari ya mjini mbeya ya Dodoma jana wameshasahau🤪[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…