Wanasikiliza?Inabidi wapatiwe semina elekezi
Wanasikiliza?
We acha hizo! Mbona yupo katika uzi huu anadunda JoanahAmeshakufa.
Watafunzwa na ulimwengu😁Sasa hapo ndio tatizo linaanza, anakutana na kijana mwenzake anakomaa kujua history, na yeye kwa kufikiri anatengeneza, kumbe anabomoa, anafunguka. Wafundeni tu hivyo hivyo.
Hata mimi naona.Naendelea vizuri mkuu
Hata mimi naona.
Mwakani mwezi kama huu nitakualika tutafune nyama choma.
Trust me.
Ulimuamini?Unaendeleaje bibie??
Noted!Kwenye maisha kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mtu vinabaki kuwa siri yako siyo kwa ubaya ila unapovisema vinaleta machafuko
Kwako mwanamke kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mme wako
1.mtu aliyekutoa ubikra chonde chonde usije kumtaja hata kama akikuuliza mwambie achana na hayo ebu njoo kwanza.
2.idadi ya wanaume uliofanya nao mapenzi kamwe usiwataje
3.usimwambie kiasi gani unampenda rafiki, mchungaji, shemeji, jirani, msanii wa kiume ety konde boy nampenda sana weee usithubutu utanishukuru ukizeeka
4.usije ukamlinganisha na mwanaume yeyote mbele yake mwambie baba wew ni bora kuliko wote
5.usimsifie mwanaume yeyote mbele yake
MATUNZO NGOJA NIPUMZIKE MAMA NANIII LETAA .......
HAbari. Pole na kuumwa Cancer, unaendeleaje?Kwa mwenye akili timamu anawezaje kufanya hayo? Hata kwa mwanaume kufanya hayo kwa mwanamke wake nayo ni ajabu
kila unapotaka kupanda usafiri lazima ujue ni wa aina ganHapo tuko pamoja, haina maana yoyote. Hata ukiambiwa, utafanya nini?
Ni kitu kinawakosesha raha sana wanawake mwanaume akianza kuganda na kukomaa anataka kujua history kama ni baiskeli, bajaji, costa, yutong au SGR?
Mapenzi ni chombo ni kama vyombo vingine vya moto, yanahitaji leseni.kila unapotaka kupanda usafiri lazima ujue ni wa aina gan
Mbona wazungu wanafanya?Kwa mwenye akili timamu anawezaje kufanya hayo? Hata kwa mwanaume kufanya hayo kwa mwanamke wake nayo ni ajabu
😁😁😁Hapa ndo mda mwingine unaungana na wale wazee wakutaka kuoa bikra maana kuna baadhi ya mambo hapo yatatoweka yenyewe. Kila mwanamke anapicha kichwani ya mwanaume ambae angependa kuwa nae kwenye maisha yake.Kwenye maisha kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mtu vinabaki kuwa siri yako siyo kwa ubaya ila unapovisema vinaleta machafuko
Kwako mwanamke kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mme wako
1.mtu aliyekutoa ubikra chonde chonde usije kumtaja hata kama akikuuliza mwambie achana na hayo ebu njoo kwanza.
2.idadi ya wanaume uliofanya nao mapenzi kamwe usiwataje
3.usimwambie kiasi gani unampenda rafiki, mchungaji, shemeji, jirani, msanii wa kiume ety konde boy nampenda sana weee usithubutu utanishukuru ukizeeka
4.usije ukamlinganisha na mwanaume yeyote mbele yake mwambie baba wew ni bora kuliko wote
5.usimsifie mwanaume yeyote mbele yake
MATUNZO NGOJA NIPUMZIKE MAMA NANIII LETAA .......
bado hujapata tu?
kwa karne hii ukitaka ujue unapanda aina gan ya usafiri utajikuta hausafiri maana magari mengi mabovu sana kwaxax mapenz ni chakula cha hotelin kula nendaMapenzi ni chombo ni kama vyombo vingine vya moto, yanahitaji leseni.
Yah! ngoja leo niende beroya nikaangaze angaze!bado hujapata tu?