Mambo ambayo ni uongo lakini yanajulikana ni kweli kwa wengi

Kwa waislamu hakuna zaka anayopewa sheikh kwa ajili ya huduma, tafadhali usiseme kitu usichokijua.

Zaka ni sehemu ya mali yako unayotoa kama shukrani kwa Mungu wako na inatumika kwa ajili ya kuwasaidia wale masikini wasiojiweza.
 
Mpumbavu amesema moyoni mwake "Hakuna Mungu ".....naogopa ROBERT HERIEL asije kuwa mmoja wao
 
Kwa waislamu hakuna zaka anayopewa sheikh kwa ajili ya huduma, tafadhali usiseme kitu usichokijua.

Zaka ni sehemu ya mali yako unayotoa kama shukrani kwa Mungu wako na inatumika kwa ajili ya kuwasaidia wale masikini wasiojiweza.

Zaka tafsiri yake ni fungu la kumi linalotelewa kwaajili ya makuhani, wachungaji, maaskofu na viongozi wengine wa Dini.
Kwa mujibu wa Dini ya kiyahudi na kiebrania.

Sadaka ndio hutolewa kwaajili ya msaada tuu kadiri ya mapenzi ya MTU.

Binadamu huna chochote utakachofanya kwaajili ya Mungu.
Kusema unatoa shukrani Kwa Mungu haina maana yoyote Kwa huyo MUNGU MUUMBAJI WA YOTE. Labda miungu yenye vikao na wanadamu
 
Mara Mkulima, mara Msomi, mara taikun wa falsaha, mara mzungu, mara mcheza karate, mara mwalimu wa silaha, mara mzee, mara kijana mara sijui
nn Ukweli+ uwongo ni Uwongo.

Tutajua tu.

na sibishi vyote

😀😀
Umenifurahisha mno
 
Huna ujualo juha wewe
Wewe bado ni kijana mdogo sana kutoa majibu kwa hoja nzito kama hizo tulia kwanza upate experience ya maisha.

Alafu nenda kasome nyaraka zote za mtume paulo ujifunze kitu.

Amani iwe nawe.

Sawasawa.
Hoja za Paulo kuu zinafahamika.

Mimi nilichoeleza hapo ni somo Dogo la Logic kwenyee vipengele vya Ubongo na Ukweli.
 
Sawasawa.
Hoja za Paulo kuu zinafahamika.

Mimi nilichoeleza hapo ni somo Dogo la Logic kwenyee vipengele vya Ubongo na Ukweli.
Akili zake hazichunguziki!!! Mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zangu si kama njia zenu
 
Huu utafiti wako wa: "mapenzi yanaumiza-KWELI", haujakamilika na umeegemea upande mmoja.
Haujui kuwa mapenzi yana run dunia, mapenzi ni anasa na yanaleta furaha, hilo haulijui na halipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…