Mambo ambayo ni uongo lakini yanajulikana ni kweli kwa wengi

Mara Mkulima, mara Msomi, mara taikun wa falsaha, mara mzungu, mara mcheza karate, mara mwalimu wa silaha, mara mzee, mara kijana mara sijui
nn Ukweli+ uwongo ni Uwongo.

Tutajua tu.

na sibishi vyote
Kijana anamihemko sana huyu
 
Mshua alitumbua mali bila kusaidia kuwatoa kiuchumi watoto wake, tena kwa kuwanyanyasa, anazeeka anakosa msaada kwa watoto eti anawatolea maneno ya laana, watu wanawaambia watoto mtalaaniwa, UONGO
 
Mshua alitumbua mali bila kusaidia kuwatoa kiuchumi watoto wake, tena kwa kuwanyanyasa, anazeeka anakosa msaada kwa watoto eti anawatolea maneno ya laana, watu wanawaambia watoto mtaaniwa, UONGO

Ni ujanja wa kuwatishia Watoto ili wasiwasahau wazazi, yaani kuwafanya nyara au mateka au watumwa wao.
 
Unajisikaje wewe unavyoishi mazuri wazazi wako wanaishi maisha ya dhiki una mambo mengine tunawafundisha vijana tabia ya ajabu

Nawafundisha Vijana wajifunze vyema, na kujiwekea Akiba ili wasijekuwa wategemezi hapo baadaye.

Hiyo ndio falsafa ninayowapa Vijana wa kileo.
Mzazi kuishi Maisha ya dhiki haina mahusiano yoyote na mtoto wake.
 
Nawafundisha Vijana wajifunze vyema, na kujiwekea Akiba ili wasijekuwa wategemezi hapo baadaye.

Hiyo ndio falsafa ninayowapa Vijana wa kileo.
Mzazi kuishi Maisha ya dhiki haina mahusiano yoyote na mtoto wake.
Hii comment nimethitisha we ni mtoto sio kila mzee mwenye uhitaji alichezea maisha, na sio kila mwenye maisha magumu ni mvivu, kwa inavyoonekana unajichukulia ni perfect maisha hayako hivyo sisi ni binadamu tunateleza na tuna mapungufu

Kuna watu waliweka saving kubwa kipindi Cha ujana, ghafla wameingia uzee magonjwa hayo wamejikuta wametumia ela nyingi alafu baada ya mda wanafilisika, Sasa wakikutana na mtu mwenye akili ndogo kama wewe utaishia kuwalaumu kwamba hawakusave ela
 
Kwa uelewa wako
Moto unaunguza, uongo au kweli?
Kila kiumbe kitakufa, uongo au kweli?
Ukweli hauna uhusiano na mitizamo au uelewa wa MTU. Ukweli ni Ukweli.
Uongo ndio unategemeana na MTU na MTU
Moto unaendana na uo uongo na upotoshaji ulioandika asilimia kubwa umeongelea mambo ya ukristo
 
Kumbe tupo wengi ila tumekaa kimya. Ama kweli sisi ni wasiri mno.
 
Hii comment nimethitisha we ni mtoto sio kila mzee mwenye uhitaji alichezea maisha, na sio kila mwenye maisha magumu ni mvivu

Wapi nimesema kuwa Lila Mzee mhitaji amechezea Maisha?
Au mwenye Maisha magumu ni mvivu?

Yaani unakitungia maujinga yako yaliyopo kichwani Mwako unadhani kila MTU anawaza Kwa namna yako.


Ukitoa hoja zinazohusu kumkosoa MTU kosoa kile alichoeleza, na sio ukosoea ujinga uliomo kichwani Mwako ukidhani ndio mawazo ya MTU unayemkosoa.

Karibu Sana Mkuu
 
Kufanikiwa ni matokeo ya kutumia akili juu ya kiwango cha kawaida na si vinginevyo. Sio laana, sio baraka.
Akili inakufanya ujue jinsi dunia ya mali inavyokwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…