M Mzee Ngonyani JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 1,049 Reaction score 2,242 Nov 29, 2023 #261 Msichojua wafia dini wakilokole ni kuwa sio waparestina wote ni waislam na Israel inakalia maeneo ya waparestina.
Msichojua wafia dini wakilokole ni kuwa sio waparestina wote ni waislam na Israel inakalia maeneo ya waparestina.
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 4,740 Reaction score 7,179 Nov 29, 2023 #262 WrestlerRSF254 said: Na wewe kuwa kama Israel hupangiwi wala huzuiwi Israel ni nchi huru na wewe ni nchi huru, so fanya mambo yako kivyako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Umelenga nchi gani?
WrestlerRSF254 said: Na wewe kuwa kama Israel hupangiwi wala huzuiwi Israel ni nchi huru na wewe ni nchi huru, so fanya mambo yako kivyako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Umelenga nchi gani?
Prolific26 JF-Expert Member Joined Jun 14, 2022 Posts 498 Reaction score 934 Nov 29, 2023 #263 johnthebaptist said: Muisrael mwenye miaka 5 uwezo wake wa akili anamzidi Mtanzania mwenye miaka 40 na Wapalestina ni hivyo hivyo Wenzenu mambo ya umri siyo kigezo tena! Click to expand... We kiaz kweli yaan
johnthebaptist said: Muisrael mwenye miaka 5 uwezo wake wa akili anamzidi Mtanzania mwenye miaka 40 na Wapalestina ni hivyo hivyo Wenzenu mambo ya umri siyo kigezo tena! Click to expand... We kiaz kweli yaan
I Iglesias JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 424 Reaction score 496 Nov 29, 2023 #264 Missile of the Nation said: 1. Msulubisheee msulubisheee, damu yake iwe juu yetu na watoto wetuuuuu 2. Ukimuachia huyo wewe si rafiki wa kaizariiii 3.Tufungulie Baraba siyo huyooooo Click to expand... Ha ha ha
Missile of the Nation said: 1. Msulubisheee msulubisheee, damu yake iwe juu yetu na watoto wetuuuuu 2. Ukimuachia huyo wewe si rafiki wa kaizariiii 3.Tufungulie Baraba siyo huyooooo Click to expand... Ha ha ha
Bome-e JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 17,179 Reaction score 26,188 Dec 1, 2023 Thread starter #265 Mzee Ngonyani said: Wewe huijui mgogoro wa Israel na parestina , hoja yako haitofautiani na wafia dini wa kiislam, na wewe ni mfia dini wa kilokole kaeni pembeni watu waiadili Kwa hoja na sio mihemuko ya kimani Click to expand... Nilichoandika hakina uhusiano na Imani za kidini ila naona wachangiaji wanaleta issues za Imani!
Mzee Ngonyani said: Wewe huijui mgogoro wa Israel na parestina , hoja yako haitofautiani na wafia dini wa kiislam, na wewe ni mfia dini wa kilokole kaeni pembeni watu waiadili Kwa hoja na sio mihemuko ya kimani Click to expand... Nilichoandika hakina uhusiano na Imani za kidini ila naona wachangiaji wanaleta issues za Imani!