Mambo ambayo sikuwa nayafahamu kuhusu Israel kabla ya "Gaza war"!

Mambo ambayo sikuwa nayafahamu kuhusu Israel kabla ya "Gaza war"!

Msichojua wafia dini wakilokole ni kuwa sio waparestina wote ni waislam na Israel inakalia maeneo ya waparestina.
 
Wewe huijui mgogoro wa Israel na parestina , hoja yako haitofautiani na wafia dini wa kiislam, na wewe ni mfia dini wa kilokole kaeni pembeni watu waiadili Kwa hoja na sio mihemuko ya kimani
Nilichoandika hakina uhusiano na Imani za kidini ila naona wachangiaji wanaleta issues za Imani!
 
Back
Top Bottom