Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Msichojua wafia dini wakilokole ni kuwa sio waparestina wote ni waislam na Israel inakalia maeneo ya waparestina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umelenga nchi gani?Na wewe kuwa kama Israel hupangiwi wala huzuiwi Israel ni nchi huru na wewe ni nchi huru, so fanya mambo yako kivyako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We kiaz kweli yaanMuisrael mwenye miaka 5 uwezo wake wa akili anamzidi Mtanzania mwenye miaka 40 na Wapalestina ni hivyo hivyo
Wenzenu mambo ya umri siyo kigezo tena!
Ha ha ha1. Msulubisheee msulubisheee, damu yake iwe juu yetu na watoto wetuuuuu
2. Ukimuachia huyo wewe si rafiki wa kaizariiii
3.Tufungulie Baraba siyo huyooooo
Nilichoandika hakina uhusiano na Imani za kidini ila naona wachangiaji wanaleta issues za Imani!Wewe huijui mgogoro wa Israel na parestina , hoja yako haitofautiani na wafia dini wa kiislam, na wewe ni mfia dini wa kilokole kaeni pembeni watu waiadili Kwa hoja na sio mihemuko ya kimani