Mambo ambayo sikuwa nayafahamu kuhusu Israel kabla ya "Gaza war"!

Rais wa Egypt amewekwa na USA kwa maslahi ya Israel. Sasa wewe hapo unategemea nini?
 
Ndio maana mnashindwa kupinga Boko Haram....kwa sababu ni Waafrika wenzetu......Mbona Sudan mko kimya....? Unajua ni nini kinafanyika huko.....?
Sudan wanapigana wao kwa wao. Sasa hapo kama una akili timamj huwezi kuchagja upande
 
Nani mjinga...kama Rais wa Egypt kawekwa na USA....Kwa nini asiwe pia na wa Iran...? Mwisho utaishia kusema hata kiongozi wa Hamas kawekwa na Israel.....Huna hoja...!
Kwahiyo akili yako inakutuma kama USA amefanikiwa Egypt, basi atafanikiwa kila nchi?
 
Kwahiyo akili yako inakutuma kama USA amefanikiwa Egypt, basi atafanikiwa kila nchi?

Wewe ndio uliyesema Rais wa Egpty kawekwa na US.....Swali langu kwa hata Ayatollah inawezekana kawekwa na US.....Na labada inawezekana, mbona hajatoa support Gaza inavyogawanywa vipande viwili...
 
Kwaio watu kujilinda na ardhi yao mnawaita magaidi miaka yote wamavizi wa israel wanavyowaua wapalestina mlikuwa hamuon

Kwa Hiyo October 7 ilikuwa ni kujilinda? Anti - Monitor hata ushabiki unatakiwa uwe na logic na common sense jamaa yangu!
 
Mm hii vita ya Israel na Hamas imezidi kunithibitishia kuwa Waislam ni majitu yenye hasira wakati wote

View: https://x.com/AzzatAlsaalem/status/1728204708882608472?s=20
 
hii ishadhihirika kwamba ni uongo

Okay hata hao Mateka walipelekwa Gaza na Israel.....na Hamas wakiwa mazuzu wakawapokea...na baada ya kubondwa wakawarudisha.....that was a smart move...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…