kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Tehran times magazineChanzo cha taarifa yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tehran times magazineChanzo cha taarifa yako
Aisee kasome tena masta nenda kasome the ba
masta ukitaka kujua nani alimpa myahudi hiyo land kasome the BALFOUR DECLARATION… usiku mwema…
Aisee kasome tena masta nenda kasome the ba
masta ukitaka kujua nani alimpa myahudi hiyo land kasome the BALFOUR DECLARATION… usiku mwema…
Mkuu nimeisoma yote na asante umeniongezea kitu ila nani mchokozi toka mwanzo ? Me sitaki hayo mambo ya dini zao? Hawajaanza kugombana leo twende kwenye source hapo ndio tujue ili wasolve wafanyaje …NAN KAMCHOKOZA MWENZIE ?
Soon mwijaku anaenda kuchukua nafas ya mama chupahii inawezekana kabisa, mana unaweza shangaa hata mwinjaku kapata teuzi
Mazayuni wamekiuka sheria zote duniani, za kimataifa, zadini, za kiubinadam.Kwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards!
Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina!
1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa!
2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia kuwaweka ndani wapalestina kwa muda wowote watakao bila kushitakiwa!Unaweza kukaa miaka na miaka!
3.Mtoto wa kipalestina wa miaka 8,9,10 anaweza kuhukumiwa Hadi miaka 20 jela kwa kosa la kurusha jiwe kwa waislaeli!Adhabu hii ni kubwa ukilinganisha na Adhabu anayoweza kupata muislael kwa kumuua mpalestina!
4.Mpalestina akifa kabla hajamaliza kifungo basi mwili wake unahifadhiwa bila kuzikwa mpaka maiti ikamilishe kifungo!Mpaka sasa Kuna maiti zaidi ya 394 zinatumikia kifungo Huko kwenye majokofu ya Israel!Na zinapomaliza vifungo basi zinazikwa na kubandikwa namba badala ya jina!
5.Kuna binti kaachiwa,alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 10,kosa lake lilikuwa kumsogelea kwa karibu Askari wa Israel!Ametoka akiwa ametumikia miaka 7 gerezani!
Hayo yote ni kinyume na Sheria za kimataifa ambazo Marekani na washirika wake wamekuwa wakiziwekea nchi nyingine vikwazo kwa kukiuka haki za binadamu!
It's a shame!
Provide proof, wanakuzidi wewe sio mimi aiseeMuisrael mwenye miaka 5 uwezo wake wa akili anamzidi Mtanzania mwenye miaka 40 na Wapalestina ni hivyo hivyo
Wenzenu mambo ya umri siyo kigezo tena!
Mbona wayahudi hawaendi nchi zingine kwa humanitarian grounds ila wanazidi kurudi israeli na kupanua makazi mapya ya walowezi wa kiyahudi? Hatoki mtu hapo gaza wala westbank watapambania hapo hapo ndio kwao.Nani anataka kuchukua nchi yao? Gaza wameikalia toka 2005....Nani kwafukuza West Bank......Nazugumzia hata kwenda nchi za Kiarabu kwa Humanitarian grounds.....Wamejifunza Kutoka Jordan....na hata ambavo Lebanon hakukaliki....is almost a failed state!
Halafu rekebisha hapo 2005 ni juzi palestina imekaliwa tangu 1948 lilipoanzishwa taifa la israeli.Nani anataka kuchukua nchi yao? Gaza wameikalia toka 2005....Nani kwafukuza West Bank......Nazugumzia hata kwenda nchi za Kiarabu kwa Humanitarian grounds.....Wamejifunza Kutoka Jordan....na hata ambavo Lebanon hakukaliki....is almost a failed state!
Hayo ndiyo yamekuhuzunisha?Muwalee watoto wenu kwa maadili mema.Adui harithishwi.Utaumia wewe na ukoo wako.Kwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards!
Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina!
1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa!
2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia kuwaweka ndani wapalestina kwa muda wowote watakao bila kushitakiwa!Unaweza kukaa miaka na miaka!
3.Mtoto wa kipalestina wa miaka 8,9,10 anaweza kuhukumiwa Hadi miaka 20 jela kwa kosa la kurusha jiwe kwa waislaeli!Adhabu hii ni kubwa ukilinganisha na Adhabu anayoweza kupata muislael kwa kumuua mpalestina!
4.Mpalestina akifa kabla hajamaliza kifungo basi mwili wake unahifadhiwa bila kuzikwa mpaka maiti ikamilishe kifungo!Mpaka sasa Kuna maiti zaidi ya 394 zinatumikia kifungo Huko kwenye majokofu ya Israel!Na zinapomaliza vifungo basi zinazikwa na kubandikwa namba badala ya jina!
5.Kuna binti kaachiwa,alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 10,kosa lake lilikuwa kumsogelea kwa karibu Askari wa Israel!Ametoka akiwa ametumikia miaka 7 gerezani!
Hayo yote ni kinyume na Sheria za kimataifa ambazo Marekani na washirika wake wamekuwa wakiziwekea nchi nyingine vikwazo kwa kukiuka haki za binadamu!
It's a shame!
Israel akizubaa anafutwa kwenye ramani ya dunia na pia kazungukwa na waarabu ambao hawataki kumuona, njia anayotumia israel ni sahihi kabisa wacha wanyooshweKwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards!
Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina!
1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa!
2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia kuwaweka ndani wapalestina kwa muda wowote watakao bila kushitakiwa!Unaweza kukaa miaka na miaka!
3.Mtoto wa kipalestina wa miaka 8,9,10 anaweza kuhukumiwa Hadi miaka 20 jela kwa kosa la kurusha jiwe kwa waislaeli!Adhabu hii ni kubwa ukilinganisha na Adhabu anayoweza kupata muislael kwa kumuua mpalestina!
4.Mpalestina akifa kabla hajamaliza kifungo basi mwili wake unahifadhiwa bila kuzikwa mpaka maiti ikamilishe kifungo!Mpaka sasa Kuna maiti zaidi ya 394 zinatumikia kifungo Huko kwenye majokofu ya Israel!Na zinapomaliza vifungo basi zinazikwa na kubandikwa namba badala ya jina!
5.Kuna binti kaachiwa,alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 10,kosa lake lilikuwa kumsogelea kwa karibu Askari wa Israel!Ametoka akiwa ametumikia miaka 7 gerezani!
Hayo yote ni kinyume na Sheria za kimataifa ambazo Marekani na washirika wake wamekuwa wakiziwekea nchi nyingine vikwazo kwa kukiuka haki za binadamu!
It's a shame!
Magaidi yashugulikiwe ipasavyoKwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards!
Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina!
1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa!
2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia kuwaweka ndani wapalestina kwa muda wowote watakao bila kushitakiwa!Unaweza kukaa miaka na miaka!
3.Mtoto wa kipalestina wa miaka 8,9,10 anaweza kuhukumiwa Hadi miaka 20 jela kwa kosa la kurusha jiwe kwa waislaeli!Adhabu hii ni kubwa ukilinganisha na Adhabu anayoweza kupata muislael kwa kumuua mpalestina!
4.Mpalestina akifa kabla hajamaliza kifungo basi mwili wake unahifadhiwa bila kuzikwa mpaka maiti ikamilishe kifungo!Mpaka sasa Kuna maiti zaidi ya 394 zinatumikia kifungo Huko kwenye majokofu ya Israel!Na zinapomaliza vifungo basi zinazikwa na kubandikwa namba badala ya jina!
5.Kuna binti kaachiwa,alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 10,kosa lake lilikuwa kumsogelea kwa karibu Askari wa Israel!Ametoka akiwa ametumikia miaka 7 gerezani!
Hayo yote ni kinyume na Sheria za kimataifa ambazo Marekani na washirika wake wamekuwa wakiziwekea nchi nyingine vikwazo kwa kukiuka haki za binadamu!
It's a shame!
Sidhani kama ni kweli. Hii ni sawa na ile kauli ya kiswahili ukitaka kumuua mbwa, mpe majina mabaya.Baby killers mwaka jana kuna wanajeshi wa israel waliwauwa watoto wa wanne wa palestina watoto walikuwa tu wanacheza ufukwen wao wakawapa shaba
dunia hiyo haioni uchafu unaofanywa ba uislam huko somalia , msumbiji , drc na afrika magharibi ? sio dunia ni misukule ya kiislam inayopenda kuona umwagaj dam ndo imeandamana , solution inajulikana kukemea hamas wasitumie njia ya mtutu kudai wanapohisi kuonewaUpo dunia gani wewe pimbi?? Dunia nzima watu wanaandamana huoni au hujui lugha zaidi ya kiswahili?? Na wanaoandamana ni wazungu sio waislaam huo moyo wako umekuwa kama barafu???
hakuna uteule hapo mbuz ww , unaacha kujibu hoja za watu timamu unachagua wajinga ndo unabeba hoja zao dhaifu , hapo palikuwa na jamii zaidi ya waarabu na hakuna jamii inaitwa wapalestina hapo bali waliishi waarabu na wayaudi na jamii nyingine , waarabu kwa ubinafsi wao walitaka wao ndo waunde nchi na wayaudi watimuliwe ( elewa walikwepo hapo miaka na miaka ila waarabu wanataka kuwaaminisha wayaudi wote walikuja mwaka kuanzia 1861 hadi 1948 kama wanavyodanganya kuwa misri ilikuwa ya waarabu na kuifuta kumbu kumbu ya uwepo wa watu weusi pale misri ) , mwaka 1948 nchi iligawanywa na kuunda nchi mbili kama ilivyofanywa India ambao wahindu wenye India yao walikaa kimya hawakuleta pigo kama za waarabu kutaka kuibadili historia kuonesha wao ndo walikwepo hapo tangu karne ya 7 hadi mwaka 1948 na wayaudi wote wamekuja mwaka 1948 , WAARABU WAMEIDANGANYA SANA DUNIA HASA KWAVILE WAYAUDI HAWANA MUDA NA KUPIGA MAYOWE KAMA WAARABU NDIO MAAANA KWENYE VITA HIZO UTAONESHWA JINSI WAARABU WALIVYOPIGWA NA KULIPULIWA MAKAZ YAO ILA WAYAUD HAWANA MUDA WA KUONESHA KWAO INGAWAJE HAMAS WAMEKUWA WANARUSHA MABOMU TANGU MWAKA 2014 KILA MWEZI LZM WARUSHE MABOMU NDANI YA ISRAEÑ KIUFUPI WAARABU NI WAKOROFI SANA , WABAFADHIRI UGAIDI HUKU AFRIKA NA KUPELEKEA MAMILION YA RAIA HAWANA MAKAZ WENGINE YATIMA WENGINE KUWA VILEMA NA KUWALAZIMISHA WAISHI MAISHA YA KUZURURA KWA MGUU MPK KM 500 , WAARABU WAUAWAWE TU MBUZI HAO KAMA UNAWAPENDA SANA NENDA SUDAN UKAONE USHETAN WAO DHIDI YA WW MTU MWEUSIYan hawa jamaa hawatumii akili, ukija na hoja wanakuja na hoja ya dini, i see mimi mwenyewe ni christian lakini mambo wanayoambiwa kanisani wakristo wengi wanadanganywa, sababu washaaminishwa israeli ni teule lakin hapo hapo waisraeli hawataki kabisa kuusikia ukristo, haya tuachane na dini ukienda west bank kuna barriers zimewekwa na wayahudi kila sehemu yan wapalestina wanapata shida na gaza ivyo ivyo yan maji na chakula vinaingia kwa mpangilio wanaiutaka wayahudi yan wamewafanya wenzao mateka sasa nani atakubali upuuz huo? Watu ukiwaambia wanarudi kwenye dini alizoleta mzungu nchi za africa bado sana aisee
unajifanya mstaarabu hlf unashiriki kuchoma nwizi , sasa huyo mwizi hajakuulia ila kajaribu kukuibia tu ila upo hapo kumtetea mtu alietoa uhai wa jiran na akashangilia , NGOZI NYEUSI WANAFIKI SANA , WKT HUU HUU HAPO MSUMBIJI WAISLAM WANAUA MAMILION YA RAIA NA KUWAFANYA WENGINE KUFA NJAA A KUKOSA MAKAZIYan hawa jamaa hawatumii akili, ukija na hoja wanakuja na hoja ya dini, i see mimi mwenyewe ni christian lakini mambo wanayoambiwa kanisani wakristo wengi wanadanganywa, sababu washaaminishwa israeli ni teule lakin hapo hapo waisraeli hawataki kabisa kuusikia ukristo, haya tuachane na dini ukienda west bank kuna barriers zimewekwa na wayahudi kila sehemu yan wapalestina wanapata shida na gaza ivyo ivyo yan maji na chakula vinaingia kwa mpangilio wanaiutaka wayahudi yan wamewafanya wenzao mateka sasa nani atakubali upuuz huo? Watu ukiwaambia wanarudi kwenye dini alizoleta mzungu nchi za africa bado sana aisee
waarab ndo waasisi wa huu mgogoro wao ndo walianza kuwashambulia waisrael , israel amekuwa anachukua eneo lao ili kuifanya buffer zone ianzie kwao , waislam wengi wanajifanyaa hawajui ila moyon wanaelewaMkuu nimeisoma yote na asante umeniongezea kitu ila nani mchokozi toka mwanzo ? Me sitaki hayo mambo ya dini zao? Hawajaanza kugombana leo twende kwenye source hapo ndio tujue ili wasolve wafanyaje …NAN KAMCHOKOZA MWENZIE ?
We jamaa🤣🤣 anyway itafahamikaNani anataka kuchukua nchi yao? Gaza wameikalia toka 2005....Nani kwafukuza West Bank......Nazugumzia hata kwenda nchi za Kiarabu kwa Humanitarian grounds.....Wamejifunza Kutoka Jordan....na hata ambavo Lebanon hakukaliki....is almost a failed state!
mwaka 1927 waarab waliawachinja waisrael, pia mwaka 1948 wakaivamia Israel muda mfupi baada ya kila mmoja kupewa eneo lakeZote mkuu zote zimeletwa tu na uwongo ni mwingi sana me sitaki mambo ya dini nataka tujue nan kamchokoza mwenzie huyo ndio aadhibiwe, Mkuu unajua chanjo cha ugomvi wa Palestina na Israeli ?