Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

Nashukur kwa baadhi ya vitu unavielewa..

na kuhusu population Na mimi pia nimekupa Population iliyo kwenye WHO birth statistics..
Sijui unajua WHO ni
Tanzania au wapi mkuu..
Hiyo niliyokuambia ukitaka uthibitisho nitakupa maana ni ya Tanzania na ipo hata hapo wizara ya Afya achana na mambo ya kupika kwenye vijiwe..

Nilichokupa kwenye ratio ni sahihi kabisa kulingana na Birth Ratio ya tanzania zipo nenda wizara ya afya angalia utazipata..
 
6
[emoji33]
Hao wanyak watakuw wana jinsia mbili ni automatic n hali zao
 
Mkuu, hivi ni kweli ukivaa nguo nyekundu wakati wa mvua unapigwa radi?

Na vipi unapomnyonyoa bata, ukiongea manyoya yanarudi?

Eti ni kweli simba anapokuwa anazaa huwa kuna mvua na jua vinakuwepo kwa wakati mmoja?

Hivi mkuu, mtu mwenye tabia ya kujisaidia njiani, akiwa pembeni ya moto wa kuni moshi humfuata?

Nisaidie mkuu, unaonekana wewe ni mjuvi wa mambo
 
Achana na mambo ya statistics. Tena kwenye wizara zetu ndio kabisa. Naelewa nachokwambia
 
Kuhus Ratio ni sawa..
Ila kuhus Masturbation sio pseudoscience kuna Reseaech kibao na study zimefanyika na zimethibiyisha hayo kwahyo i can never call pseudofacts
 
Mapepo ni watu!
 
Ingia Wikipedia search population sex ratio utanishukuru
 
Vyote ni uwongo isipokuwa hiyo ya bata ambayo Sina Data nayo...😂lakini ata mwenyewe si unaweza jua hizi ni story tu za watoto wa primary kuambiana au unatania mkuu
 
Kuhus Ratio ni sawa..
Ila kuhus Masturbation sio pseudoscience kuna Reseaech kibao na study zimefanyika na zimethibiyisha hayo kwahyo i can never call pseudofacts
Masturbating hasara zake ni mental sawa hatujakataa ila haina effects za kutodinda cjui kutozaa cjui upofu cjui watoto njiti sijui kutokuwa na akili etc kama wanavyosema kwenye majukwaa ya wadini
 
Umechanganya tu ma-file kimkakati lakini ukweli uko wazi … kuna ELEMENT za Davidi kameruni
 
Masturbating hasara zake ni mental sawa hatujakataa ila haina effects za kutodinda cjui kutozaa cjui upofu cjui watoto njiti sijui kutokuwa na akili etc kama wanavyosema kwenye majukwaa ya wadini
Mkuu hizo ulizotaja sio za kweli hata kidogo😅😅
Mtoto njiti anahusiana vipi na masterbation..
Kwanza masterbation sio dhambi..
Akija mtu akwambie ni dhambi mwambie akuonyeshe andiko..
Ila ni kosa la kimaadili na kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…