DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Nashukur kwa baadhi ya vitu unavielewa..Nimekuelewa kwenye masturbating ndio kila kitu kina negative effect lakini sio Kama inavyopigwa vitu...hizo mental health ni true...ila kuhusu premature ejaculation ni uwongo actually inaleta delayed ejaculation ambayo ni mbaya pia kwa sababu unafanya muda mrefu kwa hisia chache pasipo kumwaga hata mwanamke anaona jau na michosho
Kuhusu population nimetumia world population na sio population ya Tanzania Wala kituo chako Cha afya...Tanzania nzima wanawake wamezidi kwa million moja tu na sio hizo ratio ulizoweka hapo sijui 1 kwa nne ni uwongo . Kingine kuhusu anal ni sawa unachosema lakini sio Kama inavyopigwa promo . Kuna boys na girls wanafanya mapenzi ya hivyo safely (lubricants, condoms etc) ambayo unafanya isiwe na madhara as wanavyotishia...mi sifanyi anal Wala sio shoga ila I'm saying kwamba watu wasitishane kisa wao hawapendi
na kuhusu population Na mimi pia nimekupa Population iliyo kwenye WHO birth statistics..
Sijui unajua WHO ni Tanzania au wapi mkuu..
Hiyo niliyokuambia ukitaka uthibitisho nitakupa maana ni ya Tanzania na ipo hata hapo wizara ya Afya achana na mambo ya kupika kwenye vijiwe..
Nilichokupa kwenye ratio ni sahihi kabisa kulingana na Birth Ratio ya tanzania zipo nenda wizara ya afya angalia utazipata..