Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Hamna demu anaye tingisha tako lake nankulichapa huku akijisifia mie m,uri bwana
 
Unatakiwa useme mkuu
Daah hiyo roho sinaga nina usiri sana kwa mtu ninae mjua nimwambie kabisa changamoto haswa zakimahusiano mfano hapo ngumu hii imefanya mpka keso kuna dada nilishaachana nae miaka nane ilopita lakni baadhi ya rafik zangu wana amini bado tupo wote na wanamtreat as shemej yao.
 
Back
Top Bottom