Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Pepsi big ya bariidiii inatosha.
Kisha natembea tembea hapo home sikai chini mahali pamoja muda mrefu.
Naenda narudi naenda narudi hadi saa 8 usiku toka jioni.
Sitaki maswali au kelele yeyote.
Sipokei simu labda nihisi ya jambo muhimu sana.
Naingia JF natoka, naingia natoka. Na refresh page kila mara nione New Posts.
 
Hahaaaa welcome ya kibabeee
Happy New Year girlie 😍

Kutakuwa welcome party yako mapema kesho, 😆
Sisi weekend tunaimaliza J4...Napenda kumshukuru mama Samia kwa hili

Happy New year to you babe ❤...hope ulikuwa poa ulivyopotea
 
1. Nasumbua sumbua JF kutwa ugomvi ugomvi usio na kichwa wala miguu😂😂😂

2. Nalala

NB: mnaolia mnanitamanisha jamani sijui kulia kwa hisia,yaani ninaweza kulia mara chozi halitoki au sauti haitoki sasa kulia gani huko naona aah naboreka tu bora kulala.

Hapo namba moja nishakuonaga 😂😂

Haaa! Mimi nalia jamani, hata boss akinifokea nikipata kaupenyo naenda kulia
 
Ki ukweli mimi huwa naongea na mama mzazi na huwa namwambia kila kitu then hapo zitapigwa story mpaka nitasahau

Lakini mda mwingine kama hapa ofisini wakinizingua huwa siku hiyo lazima niende kwa ant dorry.. huwa nalala mapajani kwake alafu ananibembeleza.

Ila kama aliyenikera ni shangazi dorry hapo ndo huwa tafarani , mara nyingi nachemsha maji ya moto alafu naoga.

Au naweza fatilia zile screenshot ambazo zilinichekesha sana hapa jf basi hapo nainjoi..

Ila kwa sasa sizani kama takuja kereka maana nimependwa n single maza huyu mpaka sasa hapa naongea kashanipigia yaan anataka tuonane tuu...

An wewe hata unikere vipi mi i don't care...

Vishu Mtata acha kulewa
 
1. naoga muda mrefu,
2. Napiga live band mwenyewe, performing songs I like.
3, nasikiliza inner songs with meaning.
4, nakula chakula Sana.
5, natazama filamu.
6, nasafiri muda au saa yoyote, hii nafanya Sana.
7, natembelea migahawa mbali mbali.
8, napigia washkaji simu, wa kike au kiume.
9, naenda kukaa na familia niliyo toka ❤️ ❤️

Kuoga nayo ni 👌
 
Back
Top Bottom