πΉπΉπΉ Sa si ndo u-bff unanoga jamani..!!πππ fala sana
Sihitaji urafiki hauletagi maendeleoUnakula nae happy leo, kesho anamtaka mkeo - fid Q
View: https://youtu.be/5Nih5JOOrNU?si=Dtz7D7Fd8ouevOyi
ππKumbeMimi sio muongeaji, ngumu kuzoea watu, urafiki unaanza na mazoea
Wananiambia mambo yao, siwaambii ya kwangu mwisho wa siku wananiona mzinguaji.
Hujatulia we manyaunyau ππΉπΉπΉ Hivyo hivyo mahi
Bora tuvute bangi tu kama [shosti] yako alivyosema.Sasa nn? πππππ
Naunga mkono hojaMarafiki wanafiki na wambea ni wa kuwaweka mbali na mahusiano yako
πππππ kwambaaa???Bora tuvute bangi tu kama [shosti] yako alivyosema.
πΉπΉπΉ Manyau nyau on the beat..!!Hujatulia we manyaunyau π
Hulka gani hiyo?Nina rafiki m1 tyuuh,
Ila nina watu wa kupiga nao ubuyu, umbea na udaku.
Sina marafiki wengi, couz Hulka yangu inanifanya nisiwe nao kabisaa.
Upweke!Hulka gani hiyo?
niacheππππππnina huzuniHao mashost zako ungewadinya wote wangetulia asingekuwepo wa kukusumbua πΉπΉ
Rafiki zako walikufa wote?Mimi ni mtu nayependa upweke sana na ukimya,hivyo sina marafiki wengi kabisa,na baadae rafiki zangu tuliotokea utotoni wakafariki basi kwa sasa rafiki zangu ni hawa wake zangu 2,watoto wangu basi.Nipo kimyaaa hata baa nayokwenda kunywa huwa nakaa kona moja iliyojificha kabisa.
kwani umekunywa nini leoUkitaka urafiki udumu kwanza mdinyane πΉπΉ
yaaaniMarafiki wanafiki na wambea ni wa kuwaweka mbali na mahusiano yako