PreGE2025 Mambo haya saba yatatokea kabla ya uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unaota. Unamfahamu vizuri chui jike???
 

Comrade ACT hawatapata wabunge Mainland wakuchaguliwq, labda wa kupewa na CCM.

Na kama wakupewa watakua mbwa koko tu bungeni kama COVID 19
 
"The curse of a hen will have no impact on an eagle"
 
Kuna jamaa flani hapa JF alitabiri mechi ya simba na waarabu na ikawa perfect kwa 98%.

Hebu aje na utabiri wake nyota kwenye scenario hii tuone!.
Odds zipoje hapo?
"The curse of a hen will have no impact on an eagle"
 
Sikia turudi kwenye mada nimekuuliza unaelewa nini maana ya haki? Naona hapa unaanza kutiatia huruma unataka kuonewaonewa huruma unakamata kamata mtu unamtia ndani unambambikia kesi ya Uasi na Uhaini kisha unataka uonewe huruma? Kaa chini
Haki ya nini?
 
.bora yq minyoo inaatibika, ila brain wash unayo suffer ni irreversible, na utaishia kupata epilepsy
So what do you prefer to have for a dinner suffering, irreversible or epilepsy? SAH
 
Tukuite nabii nani
 
Sijui haki uliyoikosa, ndyo nimeuliza ni haki gani? be specific
Specific about what? Don't you know what's Justice? Nazungumzia kumshika mtu kwa makosa ya uongo na mashtaka ya uongo wewe unadhani hio ni haki?
 
Specific about what? Don't you know what's Justice? Nazungumzia kumshika mtu kwa makosa ya uongo na mashtaka ya uongo wewe unadhani hio ni haki?
Your misery should not be generalized to everybody
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…