Mambo kumi yaliyobebwa ndani ya kikao Kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Tundu Antipas Lissu, Brussels Ubeligiji

Rais Samia amejiweka katika kundi la wanasiasa wenye akili.
Kiburi ni uthibitisho wa upumbavu, yeye hana.
Sisi tunaomfahamu hatukuwa na shaka na hilo.
Nia yake njema ya kuleta maendeleo na mshikamano ipo wazi.
 
Mi nililiona hili nikashtuka kidogo; Mbowe alikaa kimya miezi mitano na siku kadhaa kuwa hawapewi msosi ila ghafla akamwambia judge hilo suala,chap kwa haraka upande wa serikali ukaifunga kesi bila mashahidi kadhaa ambao waliamua kuingia mdikologo(hahaha) ghafla bin vuu mama anakutana na Lissu nchini Ubelgiji na wanapiga story,ok ngoja tuone itakuwaje.
Naendelea kuunganisha dot
Nalog off
 
Itakua umemsahau Robert Amsterdam wewe ama la wewe sio memba wa Chadema.

Wenzako wote wanafahamu kwamba ndoa za jinsia moja ndio agenda kuu ya uchaguzi kwa chadema in 2020.
Naona unapenda sana ndoa ya jinsia moja,olewa tu
 
Nimebaini chadema kuna wivu uongo na unafiki mwingi tendo Hilo lingefanya kiongozi mwingine ingakua usaliti kwa chadema ni uzalendo double standard
 
Akili ya nyumbu. Mmempata nyumbu mwenzenu. Yuko tayari kuwakabidhi keki yeye alale njaa
 
Ma Sukuma Gang yamefura mpaka yanataka kupasuka! Pumbavuuu kabisa haya mauaji! Hongera kwa uchambuzi mujarabu!!
 
Tulia mama arudishe utaifa ulipotezwa na Muhutu!
Atarudisha utaifa wa mgao wa umeme na matengenezo ya dharura yanatumika kuihujumu nchi.

Wanamnanga na wanataka kuongea nae. Siyo kama wanampima kipenyo cha kichwa chake.

Tusubiri tuone huo utaifa wa Zanzibar.
 
Umeandika vzr..ila pale uliposema Tanzania ilimkosea Tundu Lisu sikubaliani nawewe, hapa ungesema waziwazi watu specific kama Spika,Boss wake na baadhi ya watu. Kujumuisha Tanzania ni kuwasema wananchi wote kitu ambacho sio kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…