Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #41
Mtibeli
Mwanamke yupo loyal 100% kwa kiumbe mmoja tu ambaye ni mtoto wake.
Kwa hiyo mwanamke anaweza kuwa mke malaya kwako Ila akawa ni mama bora kwa watoto wako. The same way, mwanaume anaweza asiwe mume bora yani mlevi, mzinzi na hajali hisia za mwanamke Ila kwenye kuangalia watoto wake akawa perfect.
Mkuu huwezi uficha ubaya kama vile usivyoweza kuficha Wema. Yaani huwezi uficha Ukweli. Kama mtu ni mbaya ni mbaya tuu na kama Mtu ni mwema ni mwema tuu.Na kumbuka Hapa sizungumzii ule ushwetani wa wazi wa kuwaongoza watoto vibaya. Ila nazungumzia madhaifu ya kila siku ambayo wazee wetu waliyaficha chumbani ili kuwapa watoto malezi ya baba na mama wanayostahili.
Kama hujawahi kuishi na mama wa kambo, single parent au ukatelekezwa kwa ndugu baada ya familia kuvunjika. Pengine unaweza usielewe uzito wa hili kwa kuchukulia malezi ni chakula na mavazi Ila kama ulionja joto la jise. Utawaelewa hao wazee na wamama kwa sacrifise walizozitoa kwa ajili ya watoto wao
Waswahili wangedai jamaa kashatengenezwa 😁😁Leo mzee mwenzangu nilikuwa kwenye mgahawa mmoja nakula pembeni nikawa nasikia mtu na mumewe
Wanazozana "mwanamke bado kasevu Namba za ex wake ety anasema ooh wanapiga tu story za kawaida" demu kakomalia ex anataka Kuja kumtembelea
Mwanaume anaonekana ni mpole kwa jinsi alivyokua anajibizana
Imenikata maini sana
Leo mzee mwenzangu nilikuwa kwenye mgahawa mmoja nakula pembeni nikawa nasikia mtu na mumewe
Wanazozana "mwanamke bado kasevu Namba za ex wake ety anasema ooh wanapiga tu story za kawaida" demu kakomalia ex anataka Kuja kumtembelea
Mwanaume anaonekana ni mpole kwa jinsi alivyokua anajibizana
Imenikata maini sana
Humu tunachangamshana tu lakini kwenye field tunabembeleza mno🤣😝Afadhali mkuu umeongelea maisha halisi na story zipo nyingi sana mitaani. Kuna wazee wengi tu wamelea watoto sio wao tena kwa upendo ndio maana husikii story mbaya za baba wa kambo.
Ila kwa sasa naona kuna vitu vingi vilivyokosa uhalisia vinapigiwa promo mtandaoni kiasi kwamba tunaona ndoa zikivunjika na watu kulea watoto kama single parents kwa kuhisi ni kawaida wakati kiuhalisia hawawezi.
Matokeo yake ndio haya tunaoyaona
Waswahili wangedai jamaa kashatengenezwa 😁😁
Ila maisha ya mtaa mkuu, watu wanaishi miaka vitanda viwili tofauti au mmoja wakati wa night anatandika godoro. Ila wakitoka room ni tabasamu tu
Hapo nimetamani kutafta binti ambaye bado hajafika 18 nmkuze mwnywWaswahili wangedai jamaa kashatengenezwa 😁😁
Ila maisha ya mtaa mkuu, watu wanaishi miaka vitanda viwili tofauti au mmoja wakati wa night anatandika godoro. Ila wakitoka room ni tabasamu tu
Humu tunachangamshana tu lakini kwenye field tunabembeleza mno🤣😝
Ukweli wa mambo unaujua moyoniWanaume dhaifu usisahau Hilo.
Mwanamke Malaya hawezi kuwa Bora kwa watoto wake. Tunazungumzia watoto ambao ni watu.
Wewe unazungumzia watoto ambao ni binadamu ambao ni kama Wanyama tuu.
Binadamu huweza kukuzwa na kiumbe yeyote hata sokwe lakini Mtu lazima akuzwe na Mtu.
Na mtu hawezi kuwa Malaya kwa Sababu Umalaya ni kinyume na UTU
Mkuu huwezi uficha ubaya kama vile usivyoweza kuficha Wema. Yaani huwezi uficha Ukweli. Kama mtu ni mbaya ni mbaya tuu na kama Mtu ni mwema ni mwema tuu.
Ukitaka kujua Hilo,
Ndio Yale watu wanasema Wazazi wake wachungaji lakini mtoto mhuni.
Kikawaida watoto hufichua Tabia za wazazi zile walizozificha.
Mkuu Mimi sijazungumzia kuwa malezi kuwa ni chakula tuu.
Najua unajaribu kupanua mjadala ili uchambuzi uwe mzuri
Yote unayoyaona Duniani ni matokeo ya Weakman
Na ukimkuza akapata balehe ya pili ya ukubwani yani lile wenge la kujaribu vitu vilivyopo duniani ambavyo hakuvifanya alipokuwa binti. Unaweza pigwa tukio piaHapo nimetamani kutafta binti ambaye bado hajafika 18 nmkuze mwnyw
Ukweli wa mambo unaujua moyoni
Ujue mkuu kadhia za wakubwa wenzetu 🤣zinakera sanaNa ukimkuza akapata balehe ya pili ya ukubwani yani lile wenge la kujaribu vitu vilivyopo duniani ambavyo hakuvifanya alipokuwa binti. Unaweza pigwa tukio pia
Chagua kikufaacho tu mkuu Ila ubichi sio guarantee maana hata kahaba alikuwa na ubichi pia
Labda kama umalaya unafanyika wazi Ila kama ni cheatings mkuu, tukubaliane kutokukubaliana.
Kuna wamama mitaani wana familia zilizo stable Ila nje wana ving'asti au michepuko.
Lakini pia kuna watoto wanatoka familia nzuri Ila wanaharibikiwa kutokana na peer pressure. Kwa hiyo kama unaamini mtoto wako atakua vizuri kwa kutegemea ulezi wako tu. Sali na kuomba maana hakuna bingwa wa malezi
Kuna watoto wanatokea familia nzuri Ila kwa sababu fulani wakajikuta wamedondokea pabaya kama uteja.
Kwa hiyo angalia uhalisia pia
Nakuelewa kwa sababu unaingia kwenye mahusiano na mtu aliyebeba trauma za mahusiano yake ya nyuma.. Ila tutafanyaje mkuu, tafuta aliye bora tu maana bado wapoUjue mkuu kadhia za wakubwa wenzetu 🤣zinakera sana
Uko too general alafu unakimbilia kutoa hitimisho mapema.
A woman is not an object, ana hisia ,akili na Maono kulingana na situation.
Maisha ya mahusiano kati ya mwamume sio mvulana na mwanamke sio msichana sio rahisi vitu vya kuwekaea strong and weak.
Mke ataweka standard zake kutokana na mazingira yake,mfano ukitoka kazini Vua soksi niwekee kwenye tenga la soski na boxa(hizi ni standards)
Sio kwamba tunaogopa kuachwa Noo,wana strength zao pia, mfano kupata mke anaeweza manage matumizi ya familia ukimpa pesa yake ni nadra sana.
Utakuta mke ana mazuri mengi kuliko mapumgufu,
Mfano,anatunza watoto wako vizuri,
Anapenda wazazi wako
Anakutunza vizuri,
Anatunza nyumba yenu vizuri
Anapenda ndugu zako
ila kasoro yake akiwa na hasira anaongea sana au anafoka sana.
Huwezi acha huyu mwanamke kwa kufoka foka eti nitainekana dhaifu.
Mpe pesa,mtunze kadri ya kipato chako, keep your woman good .it does not mean nakuhudumia eti usiniache, Noo.
my woman is my second adress,alipo ananiwakilisha mimi mdogo wangu,
Kuna mengi humu kwa andiko lako umeandika kwa urahisi mnoo.
Kila mtu Aishi maisha yake
Wewe kabla huyo mwanamke hajaja ulikuwa unafanyaje kwenye hiyo nyumba yako?
Kwamba ulikuwa mchafu?
Ulikuwa unatupatupa soksi na boxer hukuwa unajua pakuweka hivyo Mpaka aje mwanamke akuelekeze pakuweka?
Au ulikuwa unajua lakini ulisubiri mwanamke aje kukuambia pakuweka?
Ingawaje naielewa hoja yako kuhusu kumpa angalau Nafasi kidogo Mkeo aonyeshe ubunifu wake lakini hiyo haitahesabika kama Amri au Sheria humo ndani kwa Sababu sio jukumu lake kutoa sheria humo ndani.
Mwanaume unatakiwa uwe ni full package.
Ingawaje hiyo haimaanishi kuwa utafanya majukumu yote. Lengo la kuwa full package ni kumpunguzia sehemu ya majukumu Mkeo akusaidie lakini Kwa matakwa yako wewe kama kichwa cha familia. Ikiwa matakwa yako Mkeo ndio awe Msimamizi kwa baadhi ya ishu ikiwemo kukupangia chakufanya ndani ya nyumba yako hiyo ni juu yako. Lakini hiyo sio kwaajili ya kumplease Mwanamke Bali iwe kwaajili ya Upendo tuu.
Mwanamke anayekupenda na akikutana na mwanamke Kamili hawezi kufokafoka lazima atajua namna ya kuongea na Wewe don't be fooled.
Hizo mood swings wanawake hupenda kuzifanya kwa Wanaume dhaifu
Mwanamke akikuheshimu wewe kama mumewe na ukiweza kumdhibiti lazima akuwakilishe vizuri mbele za watu
Lakini kama hakuheshimu kwa Sababu labda wewe ni weakman hata umtunze vipi lazima akudhalilishe kwa Watu.
Kikanuni Moja ya Sheria ya lazima kwa Mke ni Kumtii na Kumsikiliza mumewe mwanamke akikosa Jambo hilo anapoteza automatically sifa ya kuwa Mke.
Mapungufu madogomadogo yapo lakini usaliti, ushirikina na Uchawi na kutokuwa na heshima kwa Mume sio mapungufu madogomadogo. Hayo ni makosa makubwa