Hata nesi husomi,ukikosa MD utaishia kozi za uongozi ,informations na lishe tuu
Mimi nashauri kama familia haina uwezo wa kumsomesha MD private’s + kijana hana uwezo wa kupata gpa atleast kuanzia 4
BORA kijana akaenda kupiga diploma ya pharmacy.
Clinical medicine sikuhizi duuuh changamoto sana sana sanaa kiukweli,tuwashauri vyema wadogo zetu sababu upepo tunauona ulivo kwa sasa....
Naomba ushauri wako kuhusu med lab mdogo wangukaelekea humo! Help pls kiushauri zaidi
Siku hizi hata huko nako wembe ule ule wanaomaliza na vijiti form 6 wengi kinyama na wengi wanatoka St. Kwao fedha ipo.Clinical Officer skuhizi competition yake sio ya kitoto kwenda MD labda uwe na uwezo wa kifedha kumsomesha mtoto kairuki etc apo sawa hutokua na stress....
Otherwise unakufa na level yako ya co labda degree usome kitu kingine
Siku hizi hata huko nako wembe ule ule wanaomaliza na vijiti form 6 wengi kinyama na wengi wanatoka St. Kwao fedha ipo.
Hapo ndio tatizo lilipo sasa.Hata ukiangalia guidebook kwanza wanachukua wengi wale wa form six....diploma wanachukuliwa wachache sana.
Mdau kasema hapo kwamba degree unaenda MD tu na sio kozi nyingine.Clinical Officer skuhizi competition yake sio ya kitoto kwenda MD labda uwe na uwezo wa kifedha kumsomesha mtoto kairuki etc apo sawa hutokua na stress....
Otherwise unakufa na level yako ya co labda degree usome kitu kingine
Mdau kasema hapo kwamba degree unaenda MD tu na sio kozi nyingine.
Physics ni majanga? Kama alifaulu kwanini asiende CMTNaomba ushauri wako kuhusu med lab mdogo wangukaelekea humo! Help pls kiushauri zaidi
No.....vigezo vya medical lab na hyo CMT ni sawa.Physics ni majanga? Kama alifaulu kwanini asiende CMT
Kitu hujui acha, nani kakataza mtu wa GPA 3.5 asisome MD?No.....vigezo vya medical lab na hyo CMT ni sawa.
Tena bora abaki huko huko lab kuliko hyo CMT........CMT imekuwa ya ovyo sana siku hizi kila mtu amesoma.
Lakini pia issue ya kujiendeleza unaweza kubaki na CO yako mpaka unakufa.........ASANTE.
Nini tofauti ya A na B ??Hapana sio MD tuu,...bali na kozi zifuatazo:
1.health system manangement.
2.health information system
3.nutrition and dietetics
4.clinical nutrition
Tofauti na hapo nadhani hakuna.
Pharmacy sasa hivi ndio ajira zake chache sana.Kwa mimi niliyepiga pharmacy, bora pharmacy. Nchi ambayo MD yupo kitaa bila kazi kwa CO kutoka ni kazi sana.
Siku hivi mpaka manesi wanagawa dawa. Tena siyo kimagumashi, ni mwongozo kabisa upo.Ni mgawanyo wa kazi. Daktari naye haruhusiwi kugawa dawa, kuuza wala kufungua duka. Na ripoti zinaonyesha kuwa watu wengi wakiumwa, mtu wa kwanza kumuona ni mfamasia dukani.
Hahahahah pharmacist na cashier kazi yao inashabihianaNdio maana famasi imekuwa haithaminiki kwa sababu imeonekana kama kazi yao kugawa dawa ambazo daktari ndio ameandika.
Hivyo uhitaji unakuwa sio mkubwa,lakini mfamasia kwenye nchi za wenzetu ni mtu ambaye anaheshimika sana