Iringa Native
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 961
- 3,055
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkapa Ndiye aliyesababisba ushenzi wote unaoendelea mpaka leo!
Ilo la idala ya usalama wa taifa kukataa ni kweli ila kikwete alikuwa akiungwa mkono na JWTZ na Salim alikataliwa na jeshi na ndiye alikuwa apewe nchi so ndio ugumu ulipoanzia apo kwa Mkapa.
Mkuu, naona leo umeamua kweli kweli.NI sawa na Magufuli akimaliza muda wake aamue kujiuzia Dreeamliner moja kwa Tshs milioni kumi. Nani atakubali? Bado ataimbwa fisadi hadi na watoto, pamoja na mengi mazuri aliyoifanyia nchi!
Thank You!Basi ametuandikia pambio kumhusu. Wengine hatutapoteza muda kukisoma.
Hizi stori sasa zimekuwa nyingi sana hadi zimewapoteza watuKwenye TISS kumuondolea sifa kikwete sio kweli,isipokua TISS ndio ilimsaidia kikwete kutangazwa mshindi,hii ni baada ya BM,CDF , IGP na PM wa kipindi kile,walimuogopa kikwete na kutaka kutomtangaza kwa kuhofia mabaya yao,na walikaa kikao cha siri ktk kambi 1 wapo.lakini mchezo kuo ulishtukiwa na TISS wakamtonya jk,na jk ilibidi aombe baraka kwa bibi na bibi hakusita,akawakulupusha kwenye kikaochao cha siri.kwa aibu iliwabidi wakamtangaze mshindi.
Mkapa kaficha mengi ,wewe umeona hiyo ya tiss tuNi taarifa gani hiyo ya kikwete ambayo mkapa alipewa na TISS. ?
Ni vizuri mleta mada ukiisema
Ndio ninataka niijue,Mkapa kaficha mengi ,wewe umeona hiyo ya tiss tu
Wabongo wape heading tu stori wataandika wenyewe.Wabongo bana
Mtu anaanza kuchambua kitabu kabla hajakisoma
Hahaha