Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

Hzo story za majoka nikweli kabisa,,Kuna sehemu moja hv pori lakwenda na Kenya Kuna nyoka pia mkuubwa ye mkiani anakitu Kama chungu ana mayai yana waka usiku..pia kuna mwingine yuko huko upareni..ye kichwani ana kitu Kama jiwe linawaka usiku sana ukibahatisha kulichukua umetoboa sema ndokimbembe..pia kuna mahali kijijini huko ndanndani Kuna joka mkubwa akikatiza barabara nimpaka amalize kupita ndo mpite ukimruka tu umekwisha..maana anapopita anakuwa Kama amezungukwa na mvuke mvuke,,Kuna mgeni mmoja alienda kutembeleaga huko akajitia kichwa ngumu ,,naharaka zake akamruka akaenda zake..joka lilivomaliza kupita kwenda mbele wana mkuta kakatamoto amekaa chini ya mti..so ushukuru gari ilizima maana Kama mnge mpita huyo nyoka mbele mngepata ajali ndokwisha yenu..
Mkuu endeleza story tujifunze
 
Hii nayo inaitaji uzi wake mkuu....utufungue macho vijana
 
Aisee. Uko vzuri mama
 

Shuleni mlisomea ujinga 😂😂
 

Baada ya boss wako kukutumia kusafirisha magendo umepata faida gani?
 
Hii nayo inaitaji uzi wake mkuu....utufungue macho vijana
Hiii ulikua ni miaka hiyo2012,,, boss humjui hela inatumwa kwa Kota ananunua anakusanya dhahabu ikiwa tayari ni simu unaipeleka kwa boss bila kujua boss ni nani??? Sijui Kama huo utaratibu Bado upo.... Muhimu kijana jichanganye hii Tanzania Ina harakati nyingi sana. Siku nikipata muda nitashare humu baadhi ya visanga vyangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…